Msaada: Kupunguza mwanga wa PC

Ruheza NS

Member
Mar 21, 2016
41
22
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
 
Noooo.....kwakweli nimejaribu settings nyingi pamaja na maelezo yako "moto ya mbongo" lakini bado
 
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
Usitumie arrow keys!!!

Check the FN keys: top row. Keys za kule juu kabisa kwenye keyboard... Ukipata the correct key: use Function key + FN key

I hope updates za drivers zako ziko fiti.

Usipofaulu, let me know I fill you in on plan B
 
Update graphic drivers.
Fuata step hizi.
Control panel> hardware and sound> device manager ipo chini ya device and printers> display adapters ,double click.
Right click adapter zotakazotokea then click kwenye "update driver software"

Baada ya yote tupe mrejesho.
 
Mm upande wangu drivers na kila kitu viko Poa isipokua tu nikipunguza mwanga hadi mwisho kwangu mm nauona bado ni mkali Sana. Nimejaribu app kadhaa Kama dimmer nk lakini hazisaidii Sana.
Je kuna screen protector ambazo zinapunguza mwanga?
 
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
Download software inaitwa driver booster itamaliza matatizo yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom