Not only in Kiswahili, read the full report where East Africa culled their story. Here isthe link Are our Children Learning: Numeracy and Literacy Across East Africa 2011? :: Our publications :: Media :: Twaweza.org
Hisabati kwa watoto wa shule za msingi Afrika Mashariki. Ni ajabu kuwa majirani zetu Kenya watoto wao wanawashinda wa hapa kwetu hata kwenye zoezi dogo la Kiswahili!
Ni kweli ripoti inaonesha nchi zote tatu bado zinafanya vibaya ukilinganisha na malengo ya mitaala yao.Hali ni mbaya katika...
Kila mwaka Mkaguzi na Mdhibiti mkuu wa Serikali anafanya ukaguzi na kutoa taarifa za kitaalamu. Matokeo yake ni ya wazi, na maoni yake ya kitaalamu kuhusu namna ya kurekebisha upotevu ama matumizi mabaya ya fedha za Serikali huwa ni lulu. Mara nyingi huwa yanafanya habari kubwa kubwa kwenye...
Tukiweka tofauti za hawa personalities pembeni, binafsi sioni kama tayari document iliyoandaliwa na kuitwa rasimu ya katiba mpya imekidhi matakwa hayo. simaanishi kuikosoa kwa kila kipengele. Namaanisha kuwa elites have done it again, their way for their interests. Kwa wananchi walio nje ya...
Kwa mujibu wa makubaliano kati ya Serikali na Benki ya Dunia ambayo inafadhili awamu ya pili ya mpango wa maendeleo ya elimu ya sekondari serikali (SEDP II) iliahidi kufikisha kwenye kila shule ya sekondari nchini Tanzania Tsh 10,000/- kama ruzuku ya kuboresha mazingira ya kusomea ifikipo mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.