Search results

  1. komba05

    Ambae anafahamu hii nichek tupige kazi!

    Habari wadau, bila kupoteza muda nimeleta biashara hapa ili mwenye ufahamu aniambie imekaaje ili tupige kazi! Kuna jamaa yangu ndugu yake yupo nje ya nchi, Amempigia simu jamaa na kumuomba Atafute mtu ( dalali) ambae anajua sehemu itakayoweza kupata apartment ya kununua walau ya vyumba vitatu...
  2. komba05

    Hii Cobra Squad imekaaje??

    Habari vipi wakuu?? Nilikuwa nachek itv mida fulani naona wakaweka ile tamthilia ya Wakenya ya cobra squad, niliwahi kuichek kipindi fulani but kwa sasa naanza kuielewa coz walipata support kubwa katika udhamini na uongozaji, lakini ki ukweli sijaona maartist walioweza kufanikisha kuicheza...
  3. komba05

    Kontena zinauzwa!

    Kwa wahitaji wa kontena za ft 20 zinapatikana kwa bei ya sh 3m kwa kila moja, kontena zipo ktk hali nzuri kabisa! Kwa mawasiliano 0743941142 Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
  4. komba05

    Wahusika Songas mpo wapi?

    Habari zenu wakuu, Nimeleta uzi huu kukumbusha baadhi ya vitu ili wahusika wapate kujua nini cha kufanya, naomba Songas wafanye hima kukagua bomba lao la gesi, kwani kutokana na hizi mvua zilizopita hivi karibuni zimeleta adha kubwa kuchimba bomba, bomba limekuwa wazi, yaani juu kabisa tofauti...
  5. komba05

    Viwanja na nyumba Makongo juu na Goba!

    Wasalaam wana forum, kwa mahitaji ya Nyumba, kiwanja na mashamba! Usisite kuwasiliana nami! Viwanja na nyumba zipo kwa bei tofauti tofauti kulingana na uhitaji wako, kama upo interested kwa maeneo hayo wasiliana nami kwa 0743941142!
  6. komba05

    House4Rent Nyumba zinapangishwa!

    Ni apartment yenye vyumba viwili ikiwemo master bedroom! Jiko, sebule kubwa, family toilet na nafasi kubwa ya kupaki Gari ndani ya fence! Nyumba inapatikana Makongo juu Kwa kodi ya 450k kwa mwezi, kodi inayotakiwa ni ya miezi sita! More contacts: 0717569086!
  7. komba05

    Msaada; Anaumwa UTI anataka kubadili dose!

    Habari zenu wanajukwaa, jamaa yangu wamemcheki ana UTI akapatiwa dawa inayoitwa Norfloxacin lakini ametumia kidogo ameona hata dalili ya kupona hamna ameshauriwa na watu wengine kuwa atumie Amoxillin kwani ni nzuri kuliko ile ya kwanza! Je ipi dose nzuri kwake?
  8. komba05

    Nani mmiliki halali Wa wimbo Wa Inde mornie!

    Habari za hapa wakuu, kuna hii kitu imesumbua fikra za watu wengi sana. Nikaona Leo niilwte humu tujuzane kwa kina! Kuna wimbo ameimba dully Sykes na huyu dogo Harmonize, sasa inasemekana sana kuwa wimbo ni Wa dully Sykes, lakini vitu ninavyojiuliza Kwanini hawa WCB wameshoboka sana ktk hiyo...
  9. komba05

    Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

    Habari zenu wakuu! Nimefikiria kitu kuhusu huyu jamaa, katika tasnia ya mziki hapa Tanzania! Huyu jamaa yupo vizuri, ukisikiliza nyimbo zake kuna tungo nzuri kwa lugha yetu ya kiswahili fasaha pasipo kuchanganya lugha za kigeni, pia ana mashairi yaliyotulia pasipo kuwa na matusi au misamiati ya...
  10. komba05

    Leo ndio nimewaelewa vizuri hawa masharobaro!

    Habari wanaforum! Leo nimegundua Sifa kuu za hawa vijana Wa sasa hivi aka masharobaro! Hivi inakuwaje hawa watu kuazimana nguo, tena inafikia hata boxer watu wanavaliana kha! Haya ukija ktk kazi hawataki kufanya wao 24 hrs utamsikia akijadili ishu za mziki na mademu, wanaopenda miteremko balaaa...
  11. komba05

    Wananchi wa Longido kunywa maji machafu pamoja na wanyama, serikali inalichukuliaje suala hili?

    Habari zenu wakuu, Jana jioni nilipita sehemu kupata mbili tatu za moto, huku naangalia taarifa ya habari! Ki ukweli kuna habari ilionyeshwa ikazua gumzo sehemu ile, watu ghafla niliona walijawa na hasira, pamoja na kuiponda sana serikali hii inayojiita ya hapa kazi tu! Taarifa yenyewe ni...
  12. komba05

    Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

    Nimefuatilia sana hawa wakali wawili, nikaona sio mbaya nikawashirikisha wadau wanaowafahamu, hebu tuambizane kati yao ni nani mkali zaidi ya mwingine?
  13. komba05

    Kwa wale wa Enzi za mwinyi!

    Hakika utakuwa na kumbukumbu za kutosha kama ulipitia vibanda umiza kipindi hichoo, hebu tuambie unakumbuka wapi? Kwa upande wangu nakumbuka nilikuwa naziangalia muvi hizo pale kinondoni shamba ktk ofisi za ccm kipindi hicho ilikuwa hatareee! Tiririka sasa!!
  14. komba05

    Kuna helicopter inazurura mjini imebeba bango!

    Naomba mwenye kujua atujuze inatangaza Nini? Inapita dar nzimaaa!
  15. komba05

    House4Rent Nyumba inapangishwa Makongo juu!!

    Ina vyumba vitatu ikiwemo master bedroom! Maji yapo, Nyumba ipo ndani ya fence! Sliding windows, Full tiles, Kodi Laki sita kwa mwezi!!
  16. komba05

    Muonekano mpya wa ramani ya Makongo juu

    Hiyo ni kazi ya wananchi wenyewe wa Makongo juu, katika mpango wao shirikishi wa kupima maeneo yao! Sasa hiyo ni master plan ambayo wananchi kwa kutumia kamati yao wenyewe walioichagua imetengeneza na kuiwasilisha juzi katika mkutano mkuu wa wananchi wa Makongo. Sasa naiona serikali Makongo...
  17. komba05

    Nani mkali hapo?

    Mf wewe ni director wa movie unaambiwa chagua Adui mkuu mmoja hapo, utamweka nani?
  18. komba05

    James Rugemarila: Nitamsaidia Rais Magufuli kutumbua majipu

    Mzalendo fr James Rugemarila amesema yupo tayari kuhakikisha majipu yanayonyonya uchumi wa nchi Hii yanatumbuliwa! Hayo amesema Leo ktk hafla ya kumbukumbu ya kumkumbuka ya miaka minne ya kifo cha mjukuu wake (Isabela) nyumbani kwake! Namtakia kazi njema ktk kuhakikisha majipu yanatumbuliwa! Go...
  19. komba05

    Msaada wa jina la filamu hii!

    Kuna filamu ya kitambo sana, jina limenitoka naitafuta! Jinsi ilivyo: Ni comedy ya jamaa anapanda mbegu ya mti na baada ya muda ule mti unakuwa mrefu zaidi hadi mawinguni, napo mawinguni kuna makazi ya jamaa mmoja huko ni bonge pa mtu( giant) ina vituko balaa, msaada wajina kwa mwenye anaefahamu!
  20. komba05

    Ushauri: Ameachana na mpenzi wake aliyekuwa nae

    Habari zenu wakuu, Kwanza namshukuru Mungu kutujalia hali ya hewa ya mvua mvua ili kuondoa hili vumbi ardhini. Back to my topic, Ni kijana wa miaka 27 Ambae alitokea kupendana na mwanamke wa miaka 35, mwanzoni hadi tulisema jamaa amepata maana mapenzi yalikuwa moto moto. Baada ya muda yule...
Back
Top Bottom