Nani mkali hapo?

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Mf wewe ni director wa movie unaambiwa chagua Adui mkuu mmoja hapo, utamweka nani?

1461923724479.jpg
 
namba 1 huyo namkubari sana ye msingi mikwara mbuzi ka KABOKA MCHIZI wa gazeti la KOMESHA baadae KASHESHE
kupigana ngumi hata haliwezi tunaliitaga CALROS
 
Hakuna kama Garry Hiroyuki Tagawa hapo (4).

Jamaa kacheza filamu kibao kwa kumudu nafasi ya uadui vyema.

Nilipenda sana namna alivyozicheza Mortal Combat, Showdown in little Tokyo, Bridge of dragon ... nk
 
Hilo bwege la number 1 ukisubutu kumpenda basi anakuambukiza mpaka tabia.
Anakela mno
 
Hahaha Tagawa anaweza kukufanya usiipende dunia kwa ubaya wake

Btw wote ni wakali hapo ila Tagawa ni mshenziiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom