Msaada wa jina la filamu hii!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Kuna filamu ya kitambo sana, jina limenitoka naitafuta!
Jinsi ilivyo:
Ni comedy ya jamaa anapanda mbegu ya mti na baada ya muda ule mti unakuwa mrefu zaidi hadi mawinguni, napo mawinguni kuna makazi ya jamaa mmoja huko ni bonge pa mtu( giant) ina vituko balaa, msaada wajina kwa mwenye anaefahamu!
 
Nιмeιĸυмвυĸa ιla jιna lιмenιтoĸa

Jaмaa alιpewa мвegυ тaтυ вaнaтι мвaya мoja Iĸadondoĸa na ιĸaleтa мajanga ĸazι ĸwelι,,ngoja nιιғυaтalιe jιna
 
Kuna filamu ya kitambo sana, jina limenitoka naitafuta!
Jinsi ilivyo:
Ni comedy ya jamaa anapanda mbegu ya mti na baada ya muda ule mti unakuwa mrefu zaidi hadi mawinguni, napo mawinguni kuna makazi ya jamaa mmoja huko ni bonge pa mtu( giant) ina vituko balaa, msaada wajina kwa mwenye anaefahamu!
JACK THE GIANT
 
JACK THE GIANT
Mkuu, nimeichek, sio hiyo, hata kama ni hiyo nilikuwa nahitaji ile ya zamani, kuku anachukuliwa na radi halafu akienda huko juu anataga mayai ya ajabu, jamaa akaenda kumuokoa kwa kupanda ule mti! Mwishoni kumbe jamaa anajikuta alikuwa yoote anaota!
 
duh kaka hiyo sijawahi kuiona. ukipata link usisahau kuni tag
 
Back
Top Bottom