Search results

  1. Ing'ang'a

    Msaada wa Connection kwa DHL Tanzania, Au Ebay.

    Wakuu habari Zenu ? Poleni na kazi ila Hongereni na Komaeni Maana ndo Wajibu Wenu Samahani naomba msaada wa Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya DHL, Kwa Upande wa Dar es Salaam. Pia naomba kujua na kupata Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa kampuni...
  2. Ing'ang'a

    Tv Nzuri inahitajika Inchi 32

    Salama wakuu katika jukwaa hili Nina shida na Tv ya Inchi 32 kama kuna MTU ana tawi Kwa Mwanza na Musoma tafadhali Anicheki Kwa 0767258286 WhatsApp 0789258286
  3. Ing'ang'a

    msaada please

    Wakubwa salamu zenu kwanza. Naomba kuuliza Ni Kweli Leo Tarehe 05/May 2016, Ndo ilikua mwisho wa kutuma Maombi . Naomba yule mwenye ufahamu zaidi aje hapa na maelezo please. Natanguliza shukrani
  4. Ing'ang'a

    Ogopa sana uadui wa ukoo au familia

    Ndugu Zangu, katika Kuhangaika kwangu kwenye Maisha kupitia kusoma na kufanya kazi ndogo ndogo. Mimi huwa napata Pingamizi kubwa Sana kutoka kwa Ndugu Hasa yule ambae watu wanamuamini na kumpa kipaumbele ndugu hyo Ana uwezo mkubwa kifedha na kasoma lakini nje na hayo Ana dharau Sana na...
  5. Ing'ang'a

    Tanesco Mwanza Wameanza !!!.

    Naomba wahusika tafadhali waliangalie hili Nina ndugu yangu( Babu yangu), Ni mlipaji mzuri Sana WA Gharama zote za umeme Yan service charges na Ununuzi WA Luku. Sasa jambo la kusikitisha na kushangaza hakuna Deni lolote lile analodaiwa lakini Leo kafatilia baada ya kuwa akijaribu kununua umeme...
Back
Top Bottom