Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,279
Ndugu Zangu, katika Kuhangaika kwangu kwenye Maisha kupitia kusoma na kufanya kazi ndogo ndogo.
Mimi huwa napata Pingamizi kubwa Sana kutoka kwa Ndugu Hasa yule ambae watu wanamuamini na kumpa kipaumbele ndugu hyo Ana uwezo mkubwa kifedha na kasoma lakini nje na hayo Ana dharau Sana na kujitukuza yeye pamoja na familia yake kuanzia watoto mpaka Mbwa wake basi Mimi huwa kitu cha mtu akinipi shida.
Namsikiliza wee na kuendelea na kufanya mambo yangu ya kijinga jinga kimya kimya bila kujibu kitu Kwan siku zote ninpomkosea mtu huwa namuomba msamaha tena Katika hali ya Unyonge kwa kujutia Sana kama yule kakazika kweli Pia Huwa sipendi kuonewa kirahisi rahisi labda itegemee hali husika hapo naweza kujifanya mjinga .
Haaa Haaa Nawapenda Sana watu WA kabila langu kutoka Kule Musoma kijijini Wanapenda kutukuzwa Sana, kisa Tu ukoo au Familia nzima Ni Maskini au hawajasoma na yeye ndo kawapita Kila kitu Mungu Baba Bariki hata sisi wajinga na Maskini Tupate Kile wenzentu walicho nacho ili kupunguza Matusi na kero kwa wale wenye Misaada.
Ahsanteni Sana na Karibuni Majita kwetu.
ila Samahani jamani kama Kuna mtu ntakua Nimemkwaza Anisamehe.