Tanesco Mwanza Wameanza !!!.

Ing'ang'a

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,866
1,279
Naomba wahusika tafadhali waliangalie hili Nina ndugu yangu( Babu yangu), Ni mlipaji mzuri Sana WA Gharama zote za umeme Yan service charges na Ununuzi WA Luku. Sasa jambo la kusikitisha na kushangaza hakuna Deni lolote lile analodaiwa lakini Leo kafatilia baada ya kuwa akijaribu kununua umeme anaambiwa Kuna deni la Tsh. 241755.35/= Na Documents zote anazo zinaonesha hakuna Deni la Nyuma but kaprintiwa Karatasi refu linalonesha madeni asiyoyaelewa kiukweli jambo hili la kionevu limenikera Sana Mimi kama mtu wake WA Karibu Naomba kama Kuna wahisika humu please msaada wenu .
 
Back
Top Bottom