Search results

  1. S

    Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Its simple kama interest ni ndogo hakuna mwekezaji au mabenki watakaoleta fedha zao apa kufany biashara ili wapate faida maana interest ni ndogo,,,,, watakimbiza ela zao kwenye nchi ambazo intarest ni kubwa.
  2. S

    Tanzania ya viwanda

    Ni kweli,,,,kama nchi tunatakiwa tuwe na mwelekeo wa kitaifa,,,,iii ata aje nani inakuwa ngumu kubadilisha zaidi atakachoweza ni kuboresha na kufanya malengo ya kitaifa yaende kwa kasi,,,,, hatuwezi tukawa tunabadilika badilika kila siku,,,,,, kilimo kwanza saivi kwisha abari yake,,, nguvu zote...
  3. S

    Tanzania ya viwanda

    China kuwa na viwanda vidog vidog vingi na watu kuwa wabunifu imetokana na udhoefu walioupata kwenye viwanda vingi vikubwa vilivyofunguliwa china .... baada ya mda automatically watu waka adapt.
  4. S

    Tanzania ya viwanda

    Tanzania bado tuko nyuma sana katika mambo ya muhimu kama elimu,afya na technologia... kuweka nguvu nyingi kuhamasisha nchi ya viwanda naisi si wakati sahihi kufanya ilo,,,, bado tunatakiwa kuimarisha elimu, sekta ya afya na kukuza nchi katika technologia na ubunifu apo tutakuwa kwenye nafasi...
  5. S

    Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

    Msemo wa nakwenda zimbabwe umadhiirika leo ,,,,, roma alishalitabiri ili leo askofu kasakafia tu
  6. S

    Kiwanja kinauzwa mbezi luis

    Ukubwa 850sqm, umbali kutoka lami mpya ya goba 1km almost ... Price 20m.. Hati serekali za mitaa
  7. S

    Msaada wakuu kwa waliosoma advance

    Nenda kasome weka bidii sana hasa kwenye physics.... Nakumbuka physics tulikuwa tunafundiswa swali kabla ya paper kama wiki kadhaa kabla na ilo ilo linaletwa kwenye paper lakini bado unatoka kapa... Apo ndo nilipoona physics inaitaji kurudia kusoma mara kwa mara...mambo ni mengi but ukijipanga...
  8. S

    Naomba kujua aliyedesign hoteli ya Ramada

    Nataka kujua architectural firm iliyodesign this hotel kama kuna mtu yoyote anaijua
  9. S

    Naomba kujua aliyedesign hoteli ya Ramada

    Naomba kufaamishwa, kwa yeyote anajua kampuni iliyo design ramada resort ya jangwani beach
  10. S

    Serikali ya Rais Magufuli imekuathiri kwa kiasi gani?

    Kweli hali ni tata sana apa nilipo meezi wa pili sasa sioni dalili la dili hata la
  11. S

    Office space to share

    Natafuta mtu wa kushare naye office...maeneo ya survey ESAP,opposite mlimani city Villa's..kodi ni laki sita including services....kwaiyo tunagawana nusu......anyone interested send me a private sms.
  12. S

    Fundi ujenzi mtaalamu wa gharama nafuu anatafutwa

    Mimi ni contractor Mdogo sina bei kubwa nasimamia mpaka kupata vibali tuwasiliane.......0713350152
  13. S

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Nina BMW 325i kwa 5m
  14. S

    Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

    Mwanajeshi hachagui pori.....lakini bora pengo kuliko jino bovu....!!!
  15. S

    JK na miaka 50 ya UDSM: Nipo hivi nilivyo sababu ya UDSM

    Mbn itv siwaelewi anaitwa mseven anaongea waziri mar netwrk inapotea...vip tena
  16. S

    Nimechanganyikiwa nahitaji msaada

    Nina daw ya kupunguza cholesterol nadhani hiyo ndo itakuw tiba yako....inaitwa omega three....ni natural product...ni pm.
  17. S

    List of top universities & colleges in Tanzania 2011

    Is it real ua passion..! Archtct?
  18. S

    Ramani za nyumba

    Stop ths mt akitaka kaz nzur atakutafuta
Back
Top Bottom