Search results

  1. hamfcb

    Sababu muhimu kwanini Urusi hawezi shinda vita dhidi ya USA

    Yaani unasema ulaya itamezwa na majeshi ya russia ndani ya wiki tu utafkiri ulaya ni africa. Unajua kama uingereza, Germany, france, zote ziko ulaya? Russia hawezi kushinda vita dhidi ya umoja wa ulaya hata bila msaada wa marekani.
  2. hamfcb

    Mkwara? Urusi wajaribu kombora jipya, Putin asema linaweza kufika popote duniani

    Urusi sasa imekua kama korea kaskazini tu wakiwekewa vikwazo wanaenda kujaribisha makombora eti kuonesha na wao ni "wababe"
  3. hamfcb

    Ujerumani yampitisha Merkel kugombea muhula wa 4

    Sasa kama geresha kwanini wasimtoe tu nchi isiwe na raisi? Hawa wametenganisha nafasi za head of state(raisi) na head of government (Chancellor au waziri mkuu) ndo maana merkel anaweza kugombea hata mara 10. Uingereza, japan, Israel na nchi nyingi ziko hivi. Waziri mkuu anaruhusiwa kugombea...
  4. hamfcb

    Ujerumani yampitisha Merkel kugombea muhula wa 4

    Raisi wa ujerumani ana term limit kugombea mwisho mara mbili. Huyu merkel sio raisi ni kiongozi wa bunge au Chancellor hata akigombea mihula 10 haina shida. Nyie mnaotaka kuiga mifumo ya wazungu na wachina ipo siku atatokea raisi mbovu ambae hamumtaki lakini kumtoa hamwezi. Ujermani wanaijua...
  5. hamfcb

    CHINA: Bunge lapitisha kuondolewa kwa ukomo wa mihula ya Urais. Xi Jinping kutawala maisha

    Cha Muhimu ni kuwa Waziri mkuu amechaguliwa na wananchi haijalishi anaomba ruksa kwa nani. Malkia ni head of state, sio kiongozi wa wananchi ni mwakilishi wa wananchi
  6. hamfcb

    Rais wa Mauritius anatajia kujiuzulu baada ya kutumia fedha za msaada kufanya manunuzi binafsi

    Bora raisi mwanamke amejiuzulu japo kosa ni dogo sana. Ingekua raisi dume hapo ndo kwanza angebadili katiba ili ajiongezee muda wa kutawala.
  7. hamfcb

    Marekani na China: Ni yupi rafiki wa dhati kwa Afrika?

    Hakuna rafiki ila bora marekani wanatupa misaada kwa masharti mfano kuheshimu haki za binadamu na demokrasia hivi ni vitu vizuri kwa mwafrica. Wachina wanaangalia maslahi yao tu. Nyie hata mpigane vita au raisi akae madarakani miaka 50 shauri yenu ili mradi china ipate inachotaka. Ndo mana...
  8. hamfcb

    Msaada wa kurudusha mafaili kwenye PC

    Recuva 1.53.1087 Jaribu hii
  9. hamfcb

    Sasa ni dhahiri adui wa mrusi si ISIS bali ni Us...Su 57 zimetua rasmi Syria

    Air Force says Russia made up an incident over Syria between an F-22 and an Su-35 in response to a critical NYT story Hiyo story ya uongo uliotungwa na urusi hakuna ushahidi wowote. link yako yenyewe ulioweka inasema "Many things are yet to be explained making the story really hard to believe".
  10. hamfcb

    NIGERIA: Serikali yathibitisha kutekwa kwa Wasichana 110

    Wavulana pia wanatekwa mkuu tena wanatekwa wengi kuliko wasichana. Wanaenda kufanyishwa mazoezi na kuwa wapiganaji ila media zinatangaza zaida habari za kutekwa kwa wasichana.
  11. hamfcb

    MAREKANI: Rais Trump anataka Walimu wapewe silaha ili kukabiliana na matukio ya kihalifu shuleni

    Republicans hawataki kabisa kushindwa kwenye swala la udhibiti wa silaha. Wako tayari kuzigeuza shule kuwa kama kambi za jeshi ili mradi wao waendelee kumiliki silaha
  12. hamfcb

    Harusi za siku hizi zimegubikwa na uvunjifu wa maadili

    Kama sisi sio wazungu basi tukemee uvaaji wa suti na kanzu kwenye harusi maana sio tamaduni zetu.
  13. hamfcb

    Munich Security conference: Netanyahu awakebehi Waajemi

    Iranian foreign minister: Israel's 'myth of invincibility' has crumbled Wazir wa mambo ya nje wa iran amejibu. Kiufupi anasema israel walizoea kuingiza ndege zao kwenye anga la syria bila tatizo na hawakutegemea kama syria wataidungua ila sasa mambo yamebadilika ndo mana netanyahu anatokwa na povu.
  14. hamfcb

    Neymar hana tofauti na Pogba, utoto mwingi sana!!

    Neymar utoto mwingi ila uwezo anao na alicheza vizuri tu.. tatizo Mbappe ana chenga za kubahatisha na cavani lazima akose goli 4 ndo afunge 1. Hawa wawili ndo wanamuangusha neymar
  15. hamfcb

    Vuta subira hili linakuja kutoka kwa ELON MUSK

    Hata miaka ya zamani waafrica walikua na mawazo kama hayo. Wakati wazungu walikua wana explore dunia, walikua wanajenga maboti wanaenda kutafuta ardhi mpya sisi tuliona bora kukaa nyumbani na kulima. Matokeo yake wamekuja kututawala. Mali zote wanachukua na kupeleka kwao. Sasa wamemaliza kui...
  16. hamfcb

    Wanasoka wenye uwezo wa kawaida ila walibebwa na mafanikio ya timu zao

    Álvaro Arbeloa. Huyu alikua Beki wa kulia wa liverpool, real madrid na spain. Ana uefa, la liga, world cup na euro mbili ila ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana
  17. hamfcb

    Israel: Waafrika wachagua Jela

    Kodi na rushwa. Watu wakishajua una million 7 cash hautapata huduma yoyote bila kutoa ya "kung'arishia viatu"
  18. hamfcb

    Trump Wants Pentagon To Stage Military Parade Down Pennsylvania Avenue

    Nimesema kipindi cha vita au vita baridi. 1942 ilikua ni vita kuu ya dunia na baada ya vita kuisha walifanya tena kusherekea ushindi Eisenhower na Kennedy ilikua cold war era. Gulf war again ni kusherekea ushindi wa vita. Ndo mana nimeuliza trump anataka parade kwasababu gani? Hizi sio enzi...
  19. hamfcb

    Trump Wants Pentagon To Stage Military Parade Down Pennsylvania Avenue

    Mifano yote ulioweka ni wakati wa vita au enzi ya vita baridi. Wakati huo ilikua ina make sense kufanya gwaride. Marekani hawafanyi magwaride hovyo hovyo hata trump wakati anaapishwa aliomba kufanyiwa gwaride akakataliwa. Gharama zake ni kubwa na kuingiza vifaru na silaha nzito za jeshi mitaani...
Back
Top Bottom