Rais wa Mauritius anatajia kujiuzulu baada ya kutumia fedha za msaada kufanya manunuzi binafsi

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,181
2,945
Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim atajiuzulu, Waziri Mkuu Pravind Jugnauth alisema, baada ya madai kuwa alitumia pesa za masaada kwenye ununuzi binafsi huko Dubai

Jugnauth alisema rais alitoa ombi hilo mwenyewe alipokutana naye Ikulu. Na asubuhi ya siku iliyofuata walikutana kukubaliana tarehe ya kufanya hivyo.

Gurib-Fakim, rais wa mwanamke wa kwanza katika taifa hilo, anasemekana kuwa alifanya manunuzi kwa kutumia 'credit card' aliyopewa na Shirika lisilo la kiserikali la 'Planet Earth Institute' linalohusishwa mfanyabiashara mashuhuri wa Angola

Rais huyo alitumia takribani Tsh. milioni 48 kununua vito vya thamani alipokuwa Dubai na kutumia fedha zaidi wakati wa safari zake nchi za Italy, Sweden, England na India.

Mapema mwezi huu, Gurib-Fakim alisema angeweza kulipa fedha zote zilizotumika kupitia 'credit card' hiyo
=========

Port Louis:
Mauritian President Ameenah Gurib-Fakim will step down, Prime Minister Pravind Jugnauth said, amid allegations she spent money from a charity on shopping in Dubai.

“At her request, I met her at the State House yesterday,” Jugnauth said in comments broadcast on Port Louis-based Radio Plus. “I met her again this morning. She said that she will resign. We agreed on the date.”

She will leave the largely ceremonial position after landmark celebrations to mark the nation’s 50th independence anniversary, Jugnauth said.

Gurib-Fakim’s resignation adds to a list of top-ranking government officials on the Indian Ocean island nation who have stepped down for alleged corruption and improper behaviour. Former Deputy Prime Minister Showkutally Soodhun left office in November for allegedly making inappropriate comments. In September, attorney general Ravi Yerrigadoo stepped down to allow an investigation into allegations of money laundering.

Gurib-Fakim, the first woman president in the nation, is said to have shopped using a credit card given to her by the Planet Earth Institute, a non-governmental organization linked to an Angolan businessman and philanthropist.

Earlier this month, Gurib-Fakim said she’d paid back all money spent on the credit card. The president made Rs718,000 ($21,444) of duty-free purchases in Dubai, bought some jewellery in late 2016 and spent some more during trips to Sweden, England, India, and Italy, Port Louis-based L’Express reported.

The resignation appears to have been triggered by political manoeuvring in the ruling Militant Socialist Movement, or MSM, ahead of general elections next year, according to Jared Jeffery, a political analyst at Paarl, South Africa-based NKC African Economics. Opposition partners could use the scandal to undermine the party’s chances or force an alliance.

“The bigger story is how potential MSM alliance partners reframe the incident so that they can still join forces with the party,” Jeffery said in an emailed research note. “If they opt not to align with the MSM, opposition parties will have to find a way of justifying an alliance with the Ptr under Mr Ramgoolam which could be equally tricky to sell to supporters,” he said, referring to the Labour party, one of Mauritius’ three main parties. It is led by former Prime Minister Navinchandra Ramgoolam. Bloomberg
 
Huu upepo kasi yake inaenda kwa kasi kweli kweli Viongozi wanakubali kuachia madaraka si mchezo naona Mungu anawalainisha.
 
Ndio taabu mwanamke kumpa urais anatumbua pesa ya msaada kwenda shopping Dubai

Girl things
 
Mauritius wako mbele yetu miaka 400. Huku rais hakosei maake yeye ni mungu-mtu. Kwanza amesafiri katumia kiasi gani cha fedha, nani atajua.

Hata akitumia hela za serikali kununua wapinzani nani atathubutu kusema! Ktk nchi kama hii ni vigumu sana kutofautisha kati ya pesa binafsi za rais na fedha za serikali.
 
FB_IMG_15156671399752483.jpeg
550000
 
Rais pekee mwanamke Afrika kujiuzulu kwa tuhuma za ubadhilifu

Rais wa Mauritian Ameenah Gurib-Fakim amekubali kuachia madaraka baada ya kutuhumiwa kutumia kadi ya benki yenye thamani ya dola za kimarekani elfu kumi iliyotolewa na shirika la msaada katika matumizi yake binafsi.

Rais huyo ataachia madaraka yake baada ya madhimisho ya miaka hamsini wa uhuru wa ya taifa lake wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Reuters,rais huyo amekana kosa hilo na kudai kuwa alirudisha fedha zote.

Rais huyo aliyeingia madarakani mwaka 2015 alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa nchini Mauritius ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kwenye madhimisho ya Marais wa Mauritus.

Waziri mkuu wa nchi hiyo Pravind Jugnauth amewaambia waandishi wa habari kuwa rais Ameenah ataachia wadhifa wake kama ilivyopanga na kuongeza kwa kusema kuwa kipaumbele cha taifa hilo ndio kilichozingatiwa ili taifa hilo liendele kuwa nchi ya mfano.

Hata hivyo gazeti moja nchini humo lilichapisha uthibitisho wa nakala ambazo rais huyo alifanyia manunuzi ya vitu vyake vya thamani nchini Uingereza.
_100358942_6aba26e9-df19-463f-bedb-e3dff09faefa.jpg


Bbc
 
Muda mwingine kibinadamu ni ngumu kukubali kirahisi kuachia madaraka ukiwa na nguvu.......

Pongez kwa moyo wake wa kipekee!
 
Back
Top Bottom