Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,335
- 113,984
- Thread starter
- #21
Angalia vizuri yale matransporter ya kim,tale ni 8 wheeler ,special kwa kubebea makombora makubwa,
sasa marekani hanaga utaratibu wa parade za hivyo.
Sasa ili kumatch na kim itabidi transporter zitengezwe haraka sana ,na hizo ndo gharama pentagon wanaumiza kichwa
Marekani haina haja kabisa ya kufanya huo upuuzi.
Trump saa ingine hana akili kabisa.
Natabiri hiyo parade haitokuwepo.