Search results

  1. KAWETELE

    Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Kama Gwaji boy. alichomoka kwenye ule msala.. hata huu TD jakes ana chomoa mapema kabisa ... hawa viongozi wa dini wana wafuasi wao ... hata waambiwe nini huwa chomoi. PS: Uzi una sema alitembea na muumini wake ambaye ni Mwanamke. ila comments zina muhusisha na mambo ya kina P.Didy
  2. KAWETELE

    Aliyekuambia Kesho kuna 'Droo' nani? Kudadaeki Kesho linakufa Jitu kwa Mkapa na tusikiambiane tu hapa JF sawa?

    Mkuu GENTAMYCINE .. Kapombe kapewa tena usemaji kabla ya Mechi... vipi tuna toboa kweli kesho.?!
  3. KAWETELE

    Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Hakuna mwenye ubavu wa kugomea Mwenge... HAYUPO
  4. KAWETELE

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Nadhani Tushukuru Mungu, Hakuna madhara kwa binadamu.... Shule ya Generation ime funikwa.. ila leo jpili hakukuwa na wana funzi. Wanafunzi wa Mary's waliopo Bwenin wame ondolewa.
  5. KAWETELE

    Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    We Mp.mbavu jaribu kuficha Upum.bavu wako . kumbe haupo Mbeya..? yaani jiji liwe la kipumbavu sababu ya mijitu ya huko?! we upo wapi?! Nani kakudanganya Mbeya jiji kuna ujenzi wa barabara Nne una endelea.?! Kumbuka Mbalizi siyo Mbeya Jiji.
  6. KAWETELE

    Tangazo la Hija mwaka 2024 kwa wakatoliki. Gharama ni Tsh Milioni 7.

    Kama Tangazo linavyo jieleza.. Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji .. Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja Tuka msikilize Baba Mtakatifu. Tukaone masalia matakatifu. Tukaone...
  7. KAWETELE

    Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    CHADEMA nashauri muachane na hao wanawake.. chukueni ushauri wa Bwege " mi nilijua, hii kesi hatutoboi" kwa sababu serikali ipo pamoja na upande wa pili . wana backup wale... rejea mifano ya kesi hizi, serikali ya chama cha kijani ilipo husika, na jinsi maamuzi ya kushangaza yaliyotolewa 1...
  8. KAWETELE

    Nipo Arusha msibani kwa Nisher, hii nyumba ya matamko inatisha.

    Acha kusingizia watu.. Binafsi sikubalini na imani ya huyu mzee ... ila kumzushia mtu aliye fiwa siyo ustaarabu wa mtanzania kwamba mzee wa Ngurumo alewe siku ya Msiba? Ukweli ni kwamba, Haupo Arusha, haupo msibani na hakuna picha yoyote utakayo tuma..
  9. KAWETELE

    Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Comment kama hii inatolewa na mtanzania.. kwenye mauaji ya kinyama ya mtanzania mwenzake.. Daah hizi dini zina tufikisha pabaya
  10. KAWETELE

    Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

    We ume elewa vizuri mkuu.... Lengo la mtoa mada ni ku appreciate "ndugu zetu wa upande ule". kwamba wao pesa siyo kipaumbele.. hata hivyo sija wataja.. pengine nili maanisha akina Yeriko Nyerere waabudu mizimu..
  11. KAWETELE

    Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

    kwani ndugu wa upande wa pili ni akina nani?
  12. KAWETELE

    Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

    Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume. Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu. Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano: 1. Tegemeza jimbo 2. Miito mitakatifu 3. Sadaka za kawaida 4 mchango wa pili 5. Bahasha za Noeli/Pasaka 6. 7. 8. 9. Kisha...
  13. KAWETELE

    Indiana Jones yaachiwa leo kwenye digital platforms

    Aisew huwa naziangalia zaidi ya mara moja... ni movie huwa zinakuwa ndefu sana.. ila sija ipenda hii ya MWISHO... siyo movie.. ni kama documentary
  14. KAWETELE

    Naomba Tittle za movie kali ambazo sitojutia

    ume nena vyema mkuu.. uzi huu ungekuwa faida kwa wengi kama wachangiaji wangekuwa wana toa maelezo, movie zipi? za mwaka gani? maudhui... nk...
  15. KAWETELE

    Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Kwa hiyo mitandao gani ya kijamii Chongolo alichafuliwa?
  16. KAWETELE

    Makonda apiga Goti kwa Mwadhama Kardinali Pengo

    Safi sana Makonda
Back
Top Bottom