Mapato sherehe ya Mavuno Jimbo Katoliki Dar ni Tsh. Bil. 4.5

KAWETELE

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
682
1,612
Hongera wana Jimbo, hongera kanisa moja la mitume.

Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu, na ni kwa jimbo moja tu.

FB_IMG_1701713970319.jpg

Ukijumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano:
1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

Kisha kadiria kwa Nchi nzima. Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

Ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili". Heko kanisa, heko watoaji.

PS
Sijajua matumizi ya hizo pesa maana kama kuna ujenzi basi itaanzishwa account ya kuchangia.
 
Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume .
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano

1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"

Heko kanisa.. heko watoaji.


PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account y
Maendeleo ya hii taasisi yapo wazi. Na sasa linajengwa kanisa la kimataifa huko Gezaulole. Na nguvu ni zao pekee. Huku wakiwa na taasisi zao za Elimu anzia awali mpaka chuo kikuu, mahospital n.k. Hivyo uwekezaji wao hauna mashaka kabisa mkuu.
 
Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume .
Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.
View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano

1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"

Heko kanisa.. heko watoaji.


PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account ya kuchangia
Naona Askofu anakenua tu anajua hapa ni uhakika!!
 
Maendeleo ya hii taasisi yapo wazi. Na sasa linajengwa kanisa la kimataifa huko Gezaulole. Na nguvu ni zao pekee. Huku wakiwa na taasisi zao za Elimu anzia awali mpaka chuo kikuu, mahospital n.k. Hivyo uwekezaji wao hauna mashska kabisa mkuu.

Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa

Mfano St francis mbeya

Marian bagamoyo

St joseph dar es salaam

Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..

MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI WANAOSOMA ST FRANCIS AMA WOTE ADA NI SAWA ?
 
Hongera wana Jimbo, Hongera kanisa moja la mitume.

Kumbuka haya ni mapato ya sherehe ya mavuno tu.. na ni kwa jimbo moja tu.

View attachment 2833300
uki jumlisha vyanzo vingine vya mapato mfano

1. Tegemeza jimbo
2. Miito mitakatifu
3. Sadaka za kawaida
4 mchango wa pili
5. Bahasha za Noeli/Pasaka
6.
7.
8.
9.

na uka estimate kwa Nchi nzima..
Nadhani utakubaliana na mimi ukubwa wa hii taasisi.

ni tofauti kabisa na "ndugu zetu wa upande wa pili"

Heko kanisa.. heko watoaji.


PS
sijajua matumizi ya hizo pesa.
maana kama kuna ujenzi basi ita anzishwa account ya kuchangia
Muumini wa Kigogo Luhanga anafaidika nini na haya mabilioni mliyochanga?
 
Hapo zinapelekwa vatican
Naskia mnazipeleka Vaticano
#Hollysea.

wazungu wakajengee ma fly over na maendeleo mengine kwenye nchi zao.

Dini walizotuletea ni biashara nzuri sana ambayo wazungu wanaifanya. .
Kitu hukijui unauliza.

Utaratibu wa Kanisa kuna asilimia ndogo hutolewa kupelekwa Vatican kwa ajili ya kusaidia Kanisa kwenye majimbo maskini ya nchi mbalimbali duniani kiasi kinachosalia kinabaki ndani ya jimbo kwa ajili hiyo hiyo kusaidia Parokia zisizoweza kisadaka,mf:Jimbo la dsm linasimamia Parokia za kibiti na Mafia huko waumini ni maskini ukiwaambia watoe michango kujenga Kanisa kubwa au hospital hawawezi so wanasaidiwa na Parokia zinazojiweza.

By the way,kuna 100K yangu humo ktk jumuia yangu yupo mtu alitoa 1.5mill na hawajiulizi maswali mengi.
 
Ni kweli kanisa katoliki linatumia Sadaka kujenga shule nyingi sana zenye majina makubwa

Mfano St francis mbeya

Marian bagamoyo

St joseph dar es salaam

Swali kubwa ni JE KWENYE HIZO SHULE ZA KATOLIKI WATOTO WA WAUMINI WALIOTOA SADAKA KUZIJENGA HUWA WANASOMESHWA BURE ? WANAPEWA DISCOUNT YA ADA AMA WANALIPA SAWA SAWA NA WATOTO WA DINI ZINGINE..

MFANO WAISLAM WANAOSOMA ST FRANCIS WANALIPA ADA KIASI TOFAUTI NA WAKATOLIKI AMA WOTE ADA NI SAWA ?
Ada ni Sawa kwa wote. Hizo shule zinajengwa na wadau wengi (wamiliki ambao ni taasisi nyingine ndani ya kanisa). Utakuta shule inamilikiwa na Shirika fulani la mapadre au masista na wala pesa haitoki makao Makuu. Ila pia ziko zimazomilikiwa na parokia ya makao Makuu kama shule zote za St. Joseph DSM . Shule hizo zinajitegemea kwa Ada zao yaani ni independent chini ya Jimbo iliko shule. Ila kuna ambazo zimapewa support kama Seminary.. ikumbukwe pia mapadre huwa wanaolipwa monthly stipend or allowance. Na kila jimbo linahusika kivyake. Ninafikiri pesa ya mavumo inakuwa na utaratibu wake ambao inaratibiwa na TEC (kwa Fr. Kitima huko). Muhimu pesa ya kanisa Katoliki ina mfumo wa wazi wa matumizi yake. Hawana mchezo hawa watu. Ndiyo nguvu ya Elimu ilipo na ndiyo inawatofautisha na madhehebu mengine. Pamoja na pesa zote hizo hatujasikia wakigombania pesa na mali hadharani.
 
Back
Top Bottom