Search results

  1. jembelamkono

    Je, Tundu Lissu atakutana na Rais Samia Suluhu Ubelgiji?

    Vipi kwa Freeman Mbowe?
  2. jembelamkono

    Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Mil 70 tu iliwatoa ubinadamu huko Mtwara,ije kuwa 140?Cinema nili tusiwaamini sana.
  3. jembelamkono

    Mwaka mmoja ndani ya Merigos Fleury Prison

    BTC kama huna bank account unainunuaje?
  4. jembelamkono

    Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Tena ulitukosea saana,ungefanya iuzwe elfu nane (8000 kwa chupa)ile mi kemikali sio poa,watu wanatakawa washindwe kuinunua?
  5. jembelamkono

    Zambia wameanza kubadilisha maplastiki na rubber kuwa mafuta na gesi (petroli, dizeli, na gesi ya LPG)

    Hapa kwetu kwanza jamaa angekutana na vikwazo vizito kutoka EWURA,TBS,sijui Encironmental Impact Assessment,OSHA na ungese ungese mwiingi kutoka kwa maajent wa ccm.
  6. jembelamkono

    Biashara Comoros

    Habari wadau, Kama kuna yoyote anayefanya au anayemfahamu mtu anayefanya biashara kati ya Tanzania na visiwa vya Comoros tafadhali tuwasiliane hapa au PM, kuna jambo tunaweza kushare. Ahsante.
  7. jembelamkono

    Nahitaji kusoma kwenye chuo cha afya nchini Marekani

    Ningeanza na uzoefu wa wadau,nafkiri ndio ningeweza kufilter taarifa sahihi google.
  8. jembelamkono

    Nahitaji kusoma kwenye chuo cha afya nchini Marekani

    Habari wakuu, Nahitaji kwenda kusoma nchini Marekani katika kozi za Afya especially nursing, nategemea kujigharamia mwenyewe gharama zote mpaka kumaliza masomo. Naomba kupewa taarifa na wazoefu, ni vyuo gani vinavyotoa kozi za afya kwa muda mfupi,mfano miaka 2? Na je gharama na taratibu za...
  9. jembelamkono

    Movie nzuri ya kuangalia mkiwa wawili wa jinsia tofauti

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. jembelamkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Wakuu mwenye link ya kustream hii game,atupie hapa tafadhali.
  11. jembelamkono

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Kuna mwenye link ya kuangalia live?
  12. jembelamkono

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mwenye link ya kuweza kuiona hii game live tafadhali iweke hapa.
  13. jembelamkono

    Kiuchumi kitaalam tupo kwenye Recession

    Kijana wako wengi watakupinga hapa,lkn sisi wenye busara na upeo tunakupa kongole kwa kuliangazia hili.
  14. jembelamkono

    Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

    Nitajie brand 5 za samsung ambazo ni hi quality na zinazo trend kwa sasa kwenye markert,bila kujali gharama zake.
  15. jembelamkono

    Hii kwangu imekuwa changamoto kubwa. Hata natamani kukimbia home

    Kata na ondoa kabosa miti ya mi passion,hiyo kwa nyoka ndo yenyewe.Pia choma tairi,ile harufu ya carbon hukimbisa nyoka,kuhusu wadudu wengine jaribu kufanya fumigation.
  16. jembelamkono

    Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Ebhana nimecheka kama mazuri vile [emoji1787],sawa bhana Principle bila shaka uko kwenye ajira sasa.
  17. jembelamkono

    Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Tunaomba link ya game wakuu.
Back
Top Bottom