Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara hospitalini hapa kwa lengo la kufahamu...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA.
Dar es Salaam. 06 Januari, 2020
Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
Tamasha hili litahusisha vikundi vya nndani vya Tanzania,jumla ya vikundi 136 vimethibitisha kushiriki vikiwemo vikundi 5 kutoka nje ya nchi vikundi hvyo ni kutoka norway,german,kenya na bbrazil
Tamasha hili ambalo hufanyika kila mwaka huandaliwa na taasisi ya sanaa ns utamaduni...
Habari wadau,
Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000
msaada tafadhali
Nauza Toyota starlet just imported from Japan,haijasajiliwa bado Engine ipo safi sana,bei ni Mil 7.5 maongezi yapo kidogo,serious buyer aniPM for more details
Naombeni ushauri wa kitabibu wanajamvi.ndg yangu ni mjamzito ana wiki 34 sasa kwa mahesabu yake.lkn kipimo cha ultra sound kinaonesha ana wiki 37.sasa anashindwa aamini kipimo au hayo mahesabu yake ili iwe basis ya yy kuomba Likizo ya uzazi.
Naombeni mnisaidie wanajf,
hivi mtu ukiomba likizo ya uzazi maana yake umepoteza kabisa haki yako ya likizo ya mwaka na stahiki zake?
Sheria inasemaje kuhusu hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.