Likizo ya mwaka na likizo ya uzazi

siata

Member
Dec 23, 2010
31
26
Naombeni mnisaidie wanajf,
hivi mtu ukiomba likizo ya uzazi maana yake umepoteza kabisa haki yako ya likizo ya mwaka na stahiki zake?
Sheria inasemaje kuhusu hili?
 
Likizo ya uzazi haina uhusiano wowote na likizo ya mwaka.

Nenda likizo ya ko ya mwaka ukiwa na kamimba kako,

Ukirudi kazini kajifungue ulambe siku zako 84 kama kawa.

Angalizo: Ukichukua likizo ya mwaka ukajifungua ndani ya likizo, likizo ya uzazi kinaumana humo kwa humo.
 
Mods thread ifungwe maana jibu sahihi limetolewa vizuri. Nadhani mulizaji chukua hatua.
 
Back
Top Bottom