Ultra sound scan

siata

Member
Dec 23, 2010
31
26
Naombeni ushauri wa kitabibu wanajamvi.ndg yangu ni mjamzito ana wiki 34 sasa kwa mahesabu yake.lkn kipimo cha ultra sound kinaonesha ana wiki 37.sasa anashindwa aamini kipimo au hayo mahesabu yake ili iwe basis ya yy kuomba Likizo ya uzazi.
 
Back
Top Bottom