Search results

  1. M

    Mheshimiwa Mbowe usije kufungua Ofisi ya CHADEMA Arusha

    Nakumbuka wiki iliyopita uongozi mzima wa Chadema ulikuwa uje kufungua ofisi ya kata ya Olorien- Chadema lakini kutokana na kikao cha dharula ilibidi uongozi mzima uwepo Dar es Salaam hivyo uzinduzi huo ukahairishwa mpaka wiki hii Kwa mtazamo wangu ofisi kama hizi za kata zinatakiwa...
  2. M

    kwa nini namba za simu ambazo hazijasakiliwa bado zinatumika?

    ndugu wana JF, nakumbuka kipindi cha usajili wa namba za simu TCRA walitoa angalizo kwamba yeyote ambaye hatasajili namba yake ya simu ya mkononi, namba hiyo haitatumika tena mara baada ya muda kuisha lakini kinachonishangaza zaidi kumekuwa na matukio ya utapeli yanayofanywa katika Mikoa ya Dar...
  3. M

    Kiwanja kinauzwa-Nyaguge Mwanza

    : Location: Nyanguge 35 km from Mwanza along Mwanza Musoma road 1:30 Hours drive from ndabaka gate Size: 2.5 acres it can be expanded, 5km off the highway road Ideal for tourist hotel or industry (Fish, fruits) Please Pm me if you are seriously want the plot
  4. M

    Afisa Ardhi huyu ni hatari sana

    Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa afisa ardhi wilaya ya Meru bwana Hilu mwenyeji wa mbulu, amehamia wilaya ya Kinondoni. Mtu huyu ni hatari sana na ni tapeli mkubwa. Amekuwa akijikusanyia mali kwa njia ya udanganyifu kwa kugawa viwanja mara mbili mbili na pia kugawa viwanja sehemu ambako kisheria...
  5. M

    Wajanja watia ndani 40m za Arusha Football Club

    Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Arusha Football Club( AFC) inayoshiriki ligi ya Vodacom premium league unaeleza kuwa kuna wajanja wachache wanaonufaika sana na timu ambao kwa muonekano huonekana wako mstari wa mbele katika kusaidia timu hiyo. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wajanja...
Back
Top Bottom