Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa afisa ardhi wilaya ya Meru bwana Hilu mwenyeji wa mbulu, amehamia wilaya ya Kinondoni.
Mtu huyu ni hatari sana na ni tapeli mkubwa. Amekuwa akijikusanyia mali kwa njia ya udanganyifu kwa kugawa viwanja mara mbili mbili na pia kugawa viwanja sehemu ambako kisheria hakustahili kugawa viwanja.
Mtu huyu ana uhusiano mkubwa sana na EL na ndo master planner wa viwanja vingi anavyomiliki mheshimiwa EL Arusha, Monduli na hata Mbulu.
Ndugu zangu wa Kinondoni kuweni naye makini sana atawatapeli na kokote mtakako kwenda mtazungushwa tu maana ana mkono wa wakubwa