Search results

  1. C

    msaada wa DICTIONARY

    mtotomturuzi@yahoo.com
  2. C

    Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

    Oil chafu ni kiboko cha mchwa!
  3. C

    UKAWA wawaita wabunge wao Dodoma kumkabili Makinda

    What is in the name?ukisikia Ukawa you go bananas or?
  4. C

    List ya mabilionea waliokatisha masomo yao vyuoni

    Bulldog you are right ukipitia maandishi ya SHIV KHERA; YOU CAN WIN Winners don't do different things. They do things Differently. A STEP BY STEP TOOL FOR TOP ACHIEVERS ameeleza vizuri sana juu ya elimu hiki ni kijisehemu tu cha kipande cha andishi hilo: Get into a Continuous Education...
  5. C

    Ndoa Kati ya UKAWA na Tume ya Warioba Kufungwa Rasmi kesho Agosti 12, Buguruni

    ..........mtu asiyeweza kufikiri vema huyo amepewa ubongo kwa bahati mbaya kwani kwake uti wa mgongo ungemtosha na hata sisi tunaosoma uzi huu yatupasa kufikiri.
  6. C

    Press Conference ya UKAWA kuhusu Katiba Mpya; tulikotoka, tulipo na tuendako saa 5 leo

    kwahiyo kuwakilisha mawazo ya watanzania ni walevi..Huwezi watukana wa tz hizo ndio dharau mlizozoea......na kawaida yenu "chama kina wenyewe" wewe kwenye orodha umo?usishabikie vitu ambavyo havina maslahi mapana kwa wananchi.use your brain not your spinal cord because the spinal cord is for a...
  7. C

    Mbowe: Bunge la Katiba Likianza UKAWA Maandamano Nchi Nzima

    Hata Anti-Chadema Tanzania aka ACT wameanza kufanya mikutano nchi nzima je ni dhambi na je hali itabadilika?India na South Africa na nchi nyingine zimefika hapo leo kwa sababu ya maandamano.Ok turudi kwenye msingi.UKAWA wanachotaka ni commitment ya ndugu zenu CCM kuwa kitakachojadiliwa ni kile...
  8. C

    Mkutano ACT Kigoma Ni Aibu Tupu

    Anti-CHADEMA Tanzania(ACT)
  9. C

    Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atampa nafuu.
  10. C

    Pigo CHADEMA: Katibu wa BAVICHA Iringa abwaga manyanga, Ajiunga CCM

    Kiongozi mzigo akihama anaenda kuwaongezea mizigo aendako.
  11. C

    Boko haram jana wameua 17 juzi 118

    Hitler was not a Christian as long as I know what Christianity is,so do Boko Haram are not muslims as far as Islamic doctrine is.They only bear Christianity and Islamic names and after all what is in the name,but what is in the heart matters alot.
  12. C

    Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

    Mmenikumbusha mbali sana nilimaliza hapo 1987 na Aden Nzali,Amani Mgonja,David Luvinga,Hadhrat Hussein,Harold Kakuyu(RIP my best friend),Brian Samuel,Graceana Mgeni,Ulanga Jumanne,Sophia Karuma,Emmanuela Lusinde,Audrey Seme(RIP my sister),Brutus Hyera(RIP my best Bruto),Ramadhani Ali...
  13. C

    Wajumbe CCM wamkubali Jaji Warioba

    serikali 3
  14. C

    Mgaya wa TUCTA aliwekwa mfukoni na JK, aulizwa nini kimemotekea?

    Labda ni nchi nyingine siyo Tanzania na hiyo April itakuja na Mgaya atachanganya akili zake na za kuambiwa na yatasubiriwa maazimio mengine zaidi.
  15. C

    Hongera CCM imesimamisha vijana karibia Kata zote 27 tofauti na vyama vingine!

    Unaweza ukawaona ni vijana kumbe kichwani hamna kitu sasa hivi cha kufurahisha kuna wazee wa hadi miaka 70 lakini wanachambua mambo kuwazidi hao vijana wako what matters is what you carry in your head maana wengine wasio fikiri hata huo ubongo wamepewa kwa makosa uti wa mgongo ungewatosha...
  16. C

    Sitaki Tena Sipendi: Ati Watu Washtuke na Uteuzi wa Bunge la Katiba Uliofanywa na JK

    BTW: Hivi hao waliotundika Bendera ya Taifa namna hiyo tena Ikulu zimo kweli? Hivi hiyo ni Bendera ya nchi gani? Nchi imechoka inasinzia na kama si kulala kabisa kazi ipo diplomasia za aina hii labda kuzimu
  17. C

    Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Ha ha ha Hata Sumaye hakuwa na degree leo ana degree mizengwe miiingi.Ok fine na hao maprofesa waliojazana serikalini pamoja na elimu yao kuingia mikataba mibovu na ya kinyonyaji elimu yao inatusaidia nini sisi, mikataba mingine hata darasa la saba hawezi kuingia sembuse hao tunaowaita wamebobea...
  18. C

    Wanaweza kulirudisha jimbo hili?

    Naifahamu sana historia ya wana Iringa waweza kuwaona kama wakimya na wapole sana lakini huwa na ajenda zisizotabirika.1995 Mzee wetu Nyerere alikuja kupiga kampeni lakini bado Iringa,Mbeya Musoma etc yakawa majimbo ya kwanza kuchukuliwa na wapinzani uliporudi mfumo wa vyama...
  19. C

    Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

    Umemsahau No.3. Jesca Msambatavangu ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa.
  20. C

    Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

    Bill Clinton was born and his given name was William Jefferson Blythe IV.He never knew his father William Jefferson Blythe III.Bill took the name William Jefferson Clinton after his mother remarried Roger Clinton.Kwa hiyo alitumia jina baba wa kambo Clinton badala ya Blythe.
Back
Top Bottom