Search results

  1. P

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Mkuu tafuta hooked anchor bolts inaweza kuwa mbadala na suluhisho la changamoto yako
  2. P

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuangalia deni la gari TRA

    Inaonekana imekwisha, labda ulipokata bado hawajaisajili
  3. P

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuangalia deni la gari TRA

    Mkuu hudaiwi ila bima yako mhh
  4. P

    Paka na Mchina

    Wasingekwenda kununua Kijiji cha jirani, Nikajua angetengeneza tatizo la panya lenye kuhitaji paka mambo yangekuwa bambam
  5. P

    SENSORS CANT BE DETECTED ON Netbotz rack monitor 570

    Wataalam msaada ninahitaji kuinstall Netbotz rack monitor 570 datacenter lakini tatizo nilokutana nalo kila nnapoconnect sensor zangu hazionekani kwenye pod list tafadhali msaada kwa mwenye idea,
  6. P

    Msaada kufungua file server kwenye ubuntu

    Mkuu Cto hiyo command uloiandika hapo chini naitumiaje naomba nifafanulie kidogo mi natumia ubuntu lakin nipo kigui zaid ila napenda nisogee zaidi.? Je nikiupgrade kutoka kwenye hii version application na data ambazo nimeshaziweka ntalazimika kuziinstall upya au itaziretain?
  7. P

    Msaada kufungua file server kwenye ubuntu

    Shukran mkuu. Mkuu nimefanikiwa. Nilifanya ifuatavyo hata kwa faida ya wengine watakaokutana na haka kachangamoto. File>connect to server>windows share+servername bila kuweka\\+connect> username+password+ full domain name. Hapo wakuu nikafanikiwa
  8. P

    Msaada: kuhusu Vodashop makao makuu mwanza

    voda shop hakuna cha kufanya
  9. P

    Msaada kufungua file server kwenye ubuntu

    Wadau natumia ubuntu 11.04 kuna data nataka niziangalie kutoka kwenye file server. je nifanye nini ili niweze kuzipata. kwenye window tushajizoelea ukifungua run > //server name>enter ushafika huku kwenye ubuntu inakuwaje?
  10. P

    Ajali mbaya: Basi la Mohammed Trans laua na kujeruhi tena

    Mungu awape ahuen majeruh na kuwatia nguvu na ujasiri wafiwa ktk kipind hiki kigumu
  11. P

    air port yetu ya kimataifa ni uwanjwa wa ndege au ni kichekesho??!!

    hivi wadau kwa zawad ndogondogo kama za electronics ziwe aina moja kama camera,simu au ipod Wawaletea watu tofauti kitu aina moja idadi mwisho kiasi gani unaweza pita nazo bila kulipia ushuru
  12. P

    Safari bungeni dodoma

    Pole mdau nadhan wakat mwingne ukipata fursa ni bora ukapita ya kuzunguka utatumia muda mfupi kuliko hiyo njia fupi kwani nadhan serikali imeshasahau kabisa umuhmu wake kila siku imekuwa ahadi hewa
  13. P

    Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

    Pata dira watu sample hii na wengne wa jinsi hii miaka 10 ijayo wataiweka wapi tanzania ye2 nahic hata shule ya kata inayosuasua itakua ndoto
  14. P

    picha na video zimegomea kwenye camera

    Mkuu itakuwa computer yako imekosa drivers za kuisupport hiyo camera iwapo kama umebadl system kama ulikuwa ukitumia application jarib kuirepair
  15. P

    Msaada wa vmware

    Wooh baada ya kukwama kwa muda tatizo la timeout nimelipatia ufumbuzi hii huwenda ikaja wasaidia wengine by default kwenye window server 2008 option ya kuwa discovered from network ipekuwa disabled cha kufanya ni kwenda kwenye advance sharing option then enable to be discovered hapo hata...
  16. P

    Ya ITV & RFA NA TANGAZO LA KULAZIMISHA NGONO...

    Tunaomba mtudokezee kidogo wengne hadi sasa hatujalisikia ng hatuna fursa ya kulisikia lakin tukijua nn chaendelea nchin kwetu ni vzur ndo mana hatubanduki jamvini
  17. P

    Msaada wa vmware

    Thax mkuu japo kwa sasa sipo ktk internet nnayoweza kuipakakua hiyo win 8 kirahs lkn umeniongezea kitu kwani hyo win 8 naweza impliment concept za window server 2008r2? 2. kwa tatizo nilokuwa nakutana nalo mkuu kama nilivyoeleza awali kama hukunielewa vzur from win server kuping other machne...
  18. P

    Msaada wa vmware

    namaanisha nikipiing from any workstation kwenda kwenda kwenye win server inanipa hiyo timeout lkn nikiwa kwenye wind server 08 r2 workstation nikiziping workstation nyingne napata replay vzur nimejarib kuweka win server 03 inafanya kazi vzur ila utata ni kwa hii 08
Back
Top Bottom