Search results

  1. explicity

    Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

    Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend. Vanessa ameiambia Bongo5 sababu ya kufanya hivyo licha ya kujulikana wazi kuwa ana uhusiano na Jux. “Always nikiwa kwenye interview napenda...
  2. explicity

    Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    *_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_* Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa mawasiliano wa *_2daySky_* ambao unafanya Kazi kwa ufanisi zaidi ya *Facebook*. Kabla ya kuanza kuutangaza...
  3. explicity

    Picha: Saa ghali zaidi duniani, ipo inayotengenezwa kwa miaka 25

    Saa ni moja kati ya urembo ambao hutumika kupendezesha mkono au nyumba. Pia zipo saa za aina mbalimbali ambazo hutumika kuonyesha muda katika vyombo vya usafiri. Hizi hapa ni saa ghali zaidi duniani. 1. Breguet Grande Complication Marie-antoinette. Bei $30.000.000 Amini usiamini saa hii...
  4. explicity

    Magodoro haya yanaweza kugundua iwapo mpenzi wako anachepuka

    Watengenezaji wa magodoro wameendelea kuumiza vichwa zaidi kuingiza sokoni magodoro yanayotumia teknolojia ya hali ya juu. Watengenezaji wa Hispania wametengeneza magodoro yanayoweza kugundua iwapo mpenzi wako anachepuka. Yakiuzwa kwa £1,200, magodoro hayo yanamwezesha mtu aliye mbali na...
  5. explicity

    Picha: Utaamini kuwa mwanamke huyu ni roboti?

    Ni rahisi macho yako kukudanganya kuwa unamuangalia mwanamke halisi pale unapomuona jia jia Akipewa jina la ‘robot goddess’, Jia Jia ana sura na kila kitu kama binadamu wa kawaida kwa kutengenezwa kwa macho yanayocheza kama watu, akizungumza maneno yanaendana na mdomo unavyocheza na anamuita...
  6. explicity

    Madam Rita, ziko wapi nyimbo za wasanii wa Top 5 ya BSS?

    Bongo Star Search ni shindano pekee kwa Tanzania la kusaka vipaji kwa vijana wenye uwezo wa kuimba. Madam Rita kupitia kampuni yake ya Benchmark Production alikuwa na malengo mazuri ya kuanzisha shindano hili ambalo watanzania tulikuwa tunaangalia mashindano kama haya katika nchi za nje tu...
  7. explicity

    Kauli na ahadi za mastaa zilizoishia hewani

    Mastaa wengi wa Bongo wamekuwa wakiahidi vitu vingi kwa mashabiki wao lakini vitu hivyo vinakuwa vinapotea hewani bila ya kutekelezeka. ‘Ahadi ni deni’, watu wengi wanakuwa wanasahau maneno ambayo mwanzo waliyasema wenyewe na bila hata ya kurudisha tena mrejesho kwa mashabiki wao juu ya kauli...
  8. explicity

    Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

    Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza linalomwelezea mtu mwenye sifa nyingi ila baadhi ya sifa hizo ni pamoja na kuzungumziwa kwenye vyombo...
  9. explicity

    Hizi ni nchi za Afrika zinazoongoza kuwa na wanawake wazuri?

    Afrika ni miongoni mwa mabara saba duniani yenye wanawake wazuri na wenye mvuto. Uzuri wa wanawake wengi kutoka bara la Afrika unatokana na rangi zao nyeusi za asili, japo wapo wengi wanatumia vipodozi ili kujichubua ili wapate rangi nyeupe na baadaye madawa hayo huwaletea madhara kwenye miili...
  10. explicity

    Amitabh Bachchan ashinda tuzo ya Bollywood

    Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan na Kangana Ranaut wameshinda mataji makuu katika tuzo za kitaifa za filamu nchini India. Bachchan alishinda tuzo ya muigizaji bora kwa jukumu lake katika Piku huku Ranaut akiwa muigizaji bora upande wa wanawake kwa filamu ya Tanu Weds Manu Returns...
  11. explicity

    Madee amedai angekuwa ameathirika na matumizi ya Madawa ya kulevya, angewataja wanaomuuzia

    Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amesema kama angekuwa anatumia Madawa ya kulevya na tayari ameshaathirika basi angewataja wale wanaomuuzia ili kuisaidia serikali kutokomeza matumizi ya madawa ya kulevya Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television...
  12. explicity

    Real men

  13. explicity

    Womens Day 2016

    wanawake mnaojituma, mnajiamini, na pia wale single mothers hii siku yenu enjoy. Happy Womens Day
  14. explicity

    Fact:kwanini unaitwa kicheche ijue sababu

    Wasalaam wanajamii. Kicheche ndiye mnyama mdogo zaidi lakini ana maajabu makubwa sana. Anauwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake cha ajabu zaidi hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, anauwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia kilometa 360 kwa siku...
  15. explicity

    Hotline Bling!

    You used to call me on my You used to, you used to Yeah You used to call me on my cell phone Late night when you need my love Call me on my cell phone Late night when you need my love And I know when that hotline bling That can only mean one thing I know when that hotline bling That can only...
  16. explicity

    Nyota wa filamu Bollywood aachiwa

    Nyota wa filamu za Bollywood Sanjay Dutt amewachiliwa kutoka jela katika mji wa magharibi wa Pune nchini India. Dutt mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo jela kufuatia makosa ya kumiliki silaha inayohusishwa na mlipuko wa 1993 mjini Mumbai ambapo takriban watu 257 waliuawa na wengine 713...
  17. explicity

    NBA kuzindua Ligi ya Mpira wa Kikapu Tanzania

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu ( NBA) litazindua rasmi msimu wa kwanza wa ligi ya mpira wa kikapu kwa vijana kwenye kituo cha vijana cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dar es Salaam mnamo tarehe 27 Februari mwaka huu. Sherehe hii ya ufunguzi wa mashindano hayo itahudhuriwa na mchezaji...
  18. explicity

    Love Yourself

    "Love Yourself" For all the times that you rain on my parade And all the clubs you get in using my name You think you broke my heart, oh, girl for goodness' sake You think I'm crying on my own. Well, I ain't And I didn't wanna write a song 'Cause I didn't want anyone thinking I still care. I...
  19. explicity

    Thinking out loud

    "Thinking Out Loud" When your legs don't work like they used to before And I can't sweep you off of your feet Will your mouth still remember the taste of my love? Will your eyes still smile from your cheeks? And, darling, I will be loving you 'til we're 70 And, baby, my heart could still fall as...
Back
Top Bottom