Search results

  1. Waterloo

    Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

    Hizo ni propaganda za vita Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  2. Waterloo

    Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

    Hata pesa zilizoibwa na mafisadi ya ccm zimefichwa uswiz au hujui hilo.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  3. Waterloo

    Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

    Kumbe huna akili kwa taarifa yako wagner group ni kampuni aliyoianzisha yeye Putin na ipo dunia nzima kwaajili ya kupigania maslahi ya wanyonge na kuwapinga mabeberu. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. Waterloo

    Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

    Sasa kama wana uraia wa uswiz kwanini unasema kamficha kule? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  5. Waterloo

    Ameniacha ila nampenda…!

    Daah sasa kama umewekeza mpaka akili yako kwake utaishi vipi ndugu yangu. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. Waterloo

    Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

    Angalieni kwa makini msije mkadhani dildo hiyo inapita maana wazee wa upinde nyie hamkawii. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. Waterloo

    Tetesi: Rais Samia kubadilisha Baraza la Mawaziri hivi punde

    Hivi mnajua maana ya neno "punde" au tunaleta masihara kwenye mambo ya msingi.? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  8. Waterloo

    Waitara tulikwambia kuwa usaliti ni sumu, ona sasa unateseka

    Hahaha hii inaichwa " Heche fever " atapata tabu sanaa. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. Waterloo

    Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe

    Watanzania wapi mbona mi sipo kwa hao waliomkubali magufuli? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  10. Waterloo

    Makavu Live - Mwanaume Jitume

    Somo limeeleweka. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  11. Waterloo

    Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

    Kwahiyo anataka kutuambia ndiyo chanzo cha timu kufanya vibaya? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  12. Waterloo

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Tuache upotoshaji NEMC wanachosimamia ni kutdhibiti uchafuzi wa mazingira. Kupiga muziki kupita kiasi huo ni uchafuzi wa mazingira. Wekeni sound proof wacheni ushamba Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  13. Waterloo

    Tamisemi: Dkt. Dugange hajajiuzulu bado yuko hospitali amelazwa, puuzeni Uzushi wowote!

    Anajiuzulu kwa kosa la kupata ajali au kuna jengine maana sijaelewa. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  14. Waterloo

    Nchi zinazosema kutatokea mauaji, wameshindwa kugundua kama Texas Mall itavamiwa na kuuliwa watu?

    Masupa pawa wa mchongo Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  15. Waterloo

    Bar zilizofungiwa zatakiwa kulipa Faini Milioni Tano 5M kila moja ili ziruhisiwe kufanya biashara

    Watanzania tumezoea kufanya mambo pasipo kuzingatia sheria hatua zikichukuliwa watu wanaona wanaonewa aisee nchi ngumu hii . Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  16. Waterloo

    Mwanaume unaenda kusalimia ukweni halafu unalala hapohapo, We vipi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lol.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  17. Waterloo

    Mwanaume unaenda kusalimia ukweni halafu unalala hapohapo, We vipi?

    Watu tunatofautiana binafsi yangu kulala ukweni siwezi. Nitakaa tutaongea hata saa 6 za usiku lakini lazima nikalale Lodge. Mke wangu mara ya kwanza alikuwa ananishangaa ila kwa sasa amezoea hata kwao wanajua . Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  18. Waterloo

    Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Watanzania mawazo yetu asilimia 90 tunawaza kuchakatana tu. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  19. Waterloo

    DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Jamaa bado yupo ndani.. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  20. Waterloo

    DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Bado yupo ndani. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom