Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,521
- 26,230
Russia kwa sasa anapokea msaada kutoka JwtzRussia hawezi ishiwa vifaru
Russia kwa sasa anapokea msaada kutoka JwtzRussia hawezi ishiwa vifaru
Anaruhusu vip, mke na mtoto aishi kwa mabeberu?Ni kweli walipoachana na mke wa kwanza alioa mwingine
Ana mke na watoto wanaishi uswisi
Sasa kama wana uraia wa uswiz kwanini unasema kamficha kule?Putin ana mke Anaye anaishi uswisi kamficha uswisi na wanawe
Vita toka ianze familia yake iko Uswisi sababu wana uraia wa kule
Huyo mwanamke mke wa Putin ni Mrusi kwa kuzaliwa na kila kitu ana double citizenshipSasa kama wana uraia wa uswiz kwanini unasema kamficha kule?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kumbe huna akili kwa taarifa yako wagner group ni kampuni aliyoianzisha yeye Putin na ipo dunia nzima kwaajili ya kupigania maslahi ya wanyonge na kuwapinga mabeberu.Urusi naye atafute washirika ili na yeye asiishie kubweka tu ohh Ukraine hayuko peke yake kuna walio nyuma yake na yeye si atafute wa kuwa nyuma yake
Mbona katafuta Wagner group wawe nyuma yake atafute wengine
Kwa nini akomae tu kusema Ukraine ana watu nyuma kwani yeye hana ? Wako Wagner group wako Iran wanampa Kamikaze Drones atafute wengine
Kwani kazuiwa? Atafute
Hata pesa zilizoibwa na mafisadi ya ccm zimefichwa uswiz au hujui hilo..Sio ajabu matapeli wote wa kisiasa familia zao au watoto wao wako nje awe Putin,Mbowe,Tundu Lisu,Godbless Lema nk
Za ndan kabisaaaaaaaRussia kwa sasa anapokea msaada kutoka Jwtz
HahahaaaaHauna nia nzuri na jeshi letu wewe. Ukraine anajiandaa na Counter Offensive, Jeshi la Russia linatamani kutoroka hapo.
Ukraine imeamua au wao wameamua?Putin kwenye hotuba kalalamika kasema they want to engage in a Real war
Alidhani Ukraine alikuwa anacheza mdundiko sasa akili zimemwingia kasema warusi wajiandae Ukraine imeamua kuanza real war
Kwani Putin naye ni tapeli wa kisiasa ?Sio ajabu matapeli wote wa kisiasa familia zao au watoto wao wako nje awe Putin,Mbowe,Tundu Lisu,Godbless Lema nk
Tatizo lenu mnakuwaga vichaa , mlisema urus anatumia silaha za enzi za ussr leo kawaumbua kuwa hana stock nyingine zaid ya hizo zilizopo front ndio maana katumia kifaru kimoja tuWiki ijayo mtakuja hapa kusema Russia anaua watoto Ukraine
Leo mnasema amebakiwa na kifaru kimoja cha mwaka afu tisa Mia
Hata wewe akili zako zimepelekwa Uswis, hapo umebaki na fuvu tuHata pesa zilizoibwa na mafisadi ya ccm zimefichwa uswiz au hujui hilo..
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huma afya ya akili , mtu kavamia nchi ya jiran bad unashabikia kwa uchungu kama vile una uraia wa urusiSasa Acha hivyo Vitoti vife, si vinakufa kwa nawe,Maana Russia ameishiwa silaha.
Siyo Ukraine wala hao Mabwana zako wa NATO wanaoweza kupigana vita na Urusi.
Siku siyo nyingi wataomba poh
dah ila hao wagner huko ukraine wamechinjwa adi wanatishia kukimbia mjiKumbe huna akili kwa taarifa yako wagner group ni kampuni aliyoianzisha yeye Putin na ipo dunia nzima kwaajili ya kupigania maslahi ya wanyonge na kuwapinga mabeberu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wewe unayeshabikia kama Mke wa Biden ndiyo una akili.Huma afya ya akili , mtu kavamia nchi ya jiran bad unashabikia kwa uchungu kama vile una uraia wa urusi
Wataisha woteSasa ni mda mzuri wa JWTZ kuwasaidia warusi