Urusi yasherehekea Victory day leo kimya kimya miji mingi, kifaru kimoja tu chashiriki military parade

Wiki ijayo mtakuja hapa kusema Russia anaua watoto Ukraine
Leo mnasema amebakiwa na kifaru kimoja cha mwaka afu tisa Mia
Kwani Russia kuua watoto kaanza leo? Huu mbona mwaka wa Pili anaua tu ndio maana Ukraine wamekomaa hadi kieleweke

Ukraine ana hasira na uchungu kwa watoto wao waliouawa

Wanasema no retreat no surrender hadi kieleweke

Hata kama vita itachukua miaka 100
 
Kwani Russia kuua watoto kaanza leo? Huu mbona mwaka wa Pili anaua tu ndio masna Ukraine wamekomaa hadi kieleweke

Ukraine aana hasira na uchungu kwa watoto wao waliouawa

Wanasema no retreat no surrender hadi kieleweke

Hata kama vita itachukua miaka 100
Sasa Acha hivyo Vitoti vife, si vinakufa kwa nawe,Maana Russia ameishiwa silaha.
Siyo Ukraine wala hao Mabwana zako wa NATO wanaoweza kupigana vita na Urusi.
Siku siyo nyingi wataomba poh
 
Angalieni kwa makini msije mkadhani dildo hiyo inapita maana wazee wa upinde nyie hamkawii.
20230509_180912.jpg
20230509_180859.jpg
20230509_180855.jpg


Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hujui kitu. Hiyo YouTube unayo wewe pekee au unadhani sisi wengine hatujatazama?
Nikajua expert kumbe we ukiona watu wamejipanga uwanjani unadhania parade imeanza.

Parade inaanza Sergei Shoigu akiingia na limousine akipigiwa wimbo, anaenda kukagua gwaride anapita na gari mbili moja inaenda kulia nyingine kushoto, zinakutana katikati ndio anasalimia jeshi na salute. After that anaenda kukabidhi kwa Putin. Baadae hotuba, baadae kupita kwa jeshi na silaha kuonyeshwa mwisho. Leo hakukuwa na bendera za kutanguliza military branches, hotuba ilikuwa fupi sana, hakukuwa na ndege wala helicopters, hakukuwa na navy. Muda mfupi sana uliotumika
Mkuu msamehe huyo jamaa maana kwa nondo tu ulizoshusha hapo juu mimi napiga salute. Maswali yote jamaa hakujibu hata moja 😀... Anyway nataman kujua maoni yako juu ya issue ya drone zilizopiga kremlin na hiyo sintofaham yake hivi inawezekana ni kweli Ukraine alipiga au ndio kama kremlin ilivodai kwamba ni hujuma za west?
 
Atetewe kwa kuvamia Ukraine? Nchi ambayo haikumrushia hata jiwe akaamua kuivamia akiwa na msururu wa vifaru zaidi ya kilomita sabini kwa wingi


Ukraine hakurusha hata jiwe kuelekea urusi

Putin aliota tu kalala na.mkewe akaota anavamiwa akaanza kutwanga Ukraine

Atetewe kwa lipi ? Sisi Idd Amin tulimtwanga sababu alivamia ardhi yetu na kuua watu wetu

Ukraine hajawahi vuka mpaka hata kupiga kibaka Russia

Russia anavuna alichopanda
Putin HANA MKE
 
Mkuu msamehe huyo jamaa maana kwa nondo tu ulizoshusha hapo juu mimi napiga salute. Maswali yote jamaa hakujibu hata moja 😀... Anyway nataman kujua maoni yako juu ya issue ya drone zilizopiga kremlin na hiyo sintofaham yake hivi inawezekana ni kweli Ukraine alipiga au ndio kama kremlin ilivodai kwamba ni hujuma za west?
Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe
 
Serious kabisa unaamini hilo au una ushabiki ndani yake? Yawezekana ikawa MBT nyingi zimekuwa demaged huko battlefield ila acha kuamini Russia kapoteza Battle Tank nyingi kiasi cha kubakiwa na version ya T34.

Huo utakuwa ushabiki si uhalisia.
Unaita ushabiki kwa sababu anaandika kitu kisichokufurahisha ?
 
Ukraine kama Ukraine si tishio!
Urusi naye atafute washirika ili na yeye asiishie kubweka tu ohh Ukraine hayuko peke yake kuna walio nyuma yake na yeye si atafute wa kuwa nyuma yake

Mbona katafuta Wagner group wawe nyuma yake atafute wengine

Kwa nini akomae tu kusema Ukraine ana watu nyuma kwani yeye hana ? Wako Wagner group wako Iran wanampa Kamikaze Drones atafute wengine

Kwani kazuiwa? Atafute
 
Acheni utani jamani, kwani leo ndo victory day?

Halafu kuna mburula anakwambia OP haijabadili chochote ndani ya Russia.

Kwa mwendo huu, huenda mwakani hii sikukuu isiwepo.
Ni upuuzi na uzoba hata kuiita hii vita sijui OP, SMO
 
Angalia live military Parade. Ya lLeo live YouTube
Kifaru kimoja tu acha kuokoteza habari za sijui preparation
Pole sana. Mkuu. Najua umestuka sana hukuitegemea Mambo yaende kama yalivyopangwa pale Red Square. Russia inaendelea na shughuli zake kama ilivyojipangia.

Pole kwa mara nyingine.
 
Rudia kusoma ulicho quote hiyo siyo.military parade live ya leo

Ya leo live ilikuwa na kifaru kimoja tu cha T34 mtumba wa kabla ya vita kuu ya Pili ya dunia

Hiyo mipicha yako sijui ya before uliyookota majalalani sio uhalisia wa leo victory day live iliyofanyika mbele.ya Putin
Hiyo ni ya lini, Mkuu? Ha ha haa!
 
Kuna documentary mahari inaeleza YouTube kuwa Kwa nini Urusi sasa hivi hatumii vifaru na ikaeleza wazi kaishiwa stock

Kuwa vita ilivyoanza alitumia vifaru zaidi kuliko ndege nk aliamini kuchukua Kyiv kwa kutumia vifaru zaidi na Askari wa miguu

Kilichomkuta tu kwa vifaru Askari wa miguu walikufa kama kuku baada ya vifaru kuteketezwa

Ndio maana kwa sasa mrusi hatumii vifaru sana kaishiwa stock kaanza kuomba.nchi alizowauzia anunue tena kwao

Yuko out of stock
Russia hawezi ishiwa vifaru
 
Back
Top Bottom