Search results

  1. M

    Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    Una uhakika na usemalo? Wanaume wa Tanzania ndivyo walivyo! Unaongea tu! Mbona mimi ni mtazania na sipo hivyo! Badala ya kumpa ushauri mwanamke mwenzako unakandia wanaume. Wewe umeolewa kweli?
  2. M

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Kura za mateja zitakuwa na alama? Unaandika lakini? TAFAKAKARI CHUKUA HATUA
  3. M

    Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

    Itabidi mwishoni pale nae atangaze kuhamia upande wa pili kabla ya uchaguzi
  4. M

    Nisaideni point za kuwaambia wapiga kura wangu

    Sioni kinachokupa wasiwasi kwani watanzania wanatawalika kirahisa sana! Kwanza hawajitambui. Unaweza kuwaambia kila siku wawe wanakwenda polisi kuchapwa nakora na usione wa kulalamika hata mmoja.
  5. M

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Oyaa basi hapo Makutopora a.k.a Makutu, mnakumbuka ule mlima Kitunda? Ilikuwa ndo sehemu ya kufuata mawe ya kujengea. Basi kulikuwa na maandishi kibao yalioandikwa na intake zilizipita. "Wanyani" nilikuwa kombania ya mtunduruni E-coy operation miaka 25 ya JKT namkumbuka afande Msalaba, Semwenda...
  6. M

    Maandamano (nyomi) ya kutisha yaliyowahi kutokea

    Sio kweli Pope John Paul II alikuja 1990 na alifanya ibada pale Jangwani.
  7. M

    Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

    Tatizo mnajifamya mmesoma hivyo mnaona hii mada ni ujinga
  8. M

    Hivi mtu kama huyu anapewa adhabu gani?

    Kwa hiyo hatuna muda na mada zisizo na tija.
  9. M

    ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    Mbona TBC1 wanaipigia debe CCM na hamsemi? Au hamuoni hilo?
  10. M

    Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    Mnaandika lakini? M/kiti wa ccm na katibu mwenezi wa mkoa wa Arusha wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CHADEMA
  11. M

    Mtangazaji Ezekiel Mwambopo Unatumika au Channel Inatumika? AMG Mmekula SUMU Gani Mbaya?

    Wewe wa LUMUMBA a.k.a Magamba mbona huendi na wakati? Huu ni mwaka WA Mageuzi ni mwaka wa Ukombozi. Halafu huyu mtangazaji inaonesha ni kiasi gani anajitambua. Naona wewe hujitambui
  12. M

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Eti nae aligombea urais! Watoto wakiona picha yake wanaweza kuzimia!
  13. M

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Nilidhani ni mimi peke yangu nashindwa kutofautisha. Maana katoa sababu nyepesi sana. Inaonekanaka kabisa hana ukomavu kisiasa! Anazungumzia katiba ambayo tayari imekwama.
  14. M

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Watu wawili hawajanifurahisha. Lipumba na Slaa. Kwa nini kipindi hiki? Why?
  15. M

    Kauli ya Lowassa kuwa hajawahi kushindwa ni mwongo

    Panga! Unaandika lakini?
  16. M

    Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    We mleta Uzi kabla hata sijasoma na nikuambie sina hata mpamgo wa kusoma nakuambia huna akili! Unaongelea mambo ya bangi hapa! Ukome na ukomae! Hili ni jamvi la wastaarabu sio sehemu ya wahuni L
  17. M

    Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

    Zitto kabwe yupi? Yule wa escrow?
  18. M

    Aliyenitoroka amerudi na mimba

    Swali lako linaonyesha bado unampenda. Sasa unataka jibu gani? Msamehe mlee mimba kitanda hakizai hatamu. Ujue hiyo mimba itakuwa ya pepo maana kasema ndo waliomtorosha
Back
Top Bottom