Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

Status
Not open for further replies.
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:

KIKOSI CHA CDM 2015:

*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000

*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza musoma na tabora.

*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na Dodoma

*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya, Iringa morogoro na ruvuma

*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya arusha Kilimanjaro na manyara,Lindi ,mtwara na pwani.

*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na Zanzibar.

*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima bila kujali kanda.

*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa Kata.

*FRIENDS of LOWASSA Hawa watatapakaa nchi nzima kuleta ushawishi plus CDMA intelligencia watatapakaa nchi nzima kubain wizi, njama na mipango mibaya ya ccm.

4U MOVEMENT kampeni zikianza tu, tunatembea mtu na mtu, kichwa kwa kichwa, nyumba kwa nyumba, na kueleza ukweli halisi wa nchi yetu...kwanini UKAWA thru Lowassa ndio UHAI wetu...

Tutasali na kukesha, kila nyumba ITAKUWA UKAWA... sio utani... ni kujitolea BUREEEE....

Ukombozi ni sasa.... mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba ndugu, jamaa marafiki, wananchi, kila kona, yeyote yule mweleze UKAWA, LOWASSA ni nani
.. na watatupigia kura...

It is TIME for CHANGE....!!!
 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa, aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
attachment.php

nani asiyejua kwamba kimbisa ni mtu wa lowasa? akwende zake kama alikuwa ccm kwaajili ya lowasa hafai kuendelea kuwa mwanaccm.
 
4U MOVEMENT kampeni zikianza tu, tunatembea mtu na mtu, kichwa kwa kichwa, nyumba kwa nyumba, na kueleza ukweli halisi wa nchi yetu...kwanini UKAWA thru Lowassa ndio UHAI wetu...

Tutasali na kukesha, kila nyumba ITAKUWA UKAWA... sio utani... ni kujitolea BUREEEE....

Ukombozi ni sasa.... mtu kwa mtu, nyumba kwa nyumba ndugu, jamaa marafiki, wananchi, kila kona, yeyote yule mweleze UKAWA, LOWASSA ni nani
.. na watatupigia kura...

It is TIME for CHANGE....!!!

Sasa Mr. President si mtakiua kabisa chama hiki kikongwe? Mnataka waambilie wabunge kumi tuu nchi nzima halafu iweje? Shauri yako mkuu, Nape akijinyonga kwa kamba mtaenda kumzika kweli wakati nyie ndio chanzo cha maafa?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa, aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
attachment.php

Mnaandika lakini? M/kiti wa ccm na katibu mwenezi wa mkoa wa Arusha wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CHADEMA
 
Kweli wewe ni Ukwaju unaependwa kumung'unywa na wadada!!!!

Aliyeshuka na helicopter siku ya kutangaza nia Lowassa ni Musukuma mwenyekiti wa CCM Geita na Si Mgeja!!!!

Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM taifa ni Msindai.....
za siku mkuu.
 
sawa kabisa ni Mwenyekiti wa Geita Joseph Kasheku
Msindai ni Mwenyekiti wa wenyeviti CCM-Bara na si Taifa
 
Pumzika salama C.C.M, tulikupenda sana, lakn Rushwa na ufisadi viliwapenda zaidi, mlikuja kwa KIJANI na mnarudi kwa MANJANO, NYUNDO tutatumia kugongelea JENEZA lako na JEMBE tutatumia kufukia KABURI lako! MUNGU ibariki CHADEMA MUNGU ibariki Tanzania, C.C.M PUMZIKA KWA AMANI, PEOPLES POWER LOWASSA POWER,
 
Kweli wewe ni Ukwaju unaependwa kumung'unywa na wadada!!!!

Aliyeshuka na helicopter siku ya kutangaza nia Lowassa ni Musukuma mwenyekiti wa CCM Geita na Si Mgeja!!!!

Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM taifa ni Msindai.....

Msamehe bure siyo kosa lake, JK mwenyewe anatamani lile tezi dume ndio lingempata sasa hivi akimbie nchi kwa gia ya kwenda kwenye matibabu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom