CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

CUF wamepoteza mwelekeo kama walivyopteza Chadema,kwa huku bara CUF ni Lipumba na Lipumba ni CUF,hao akina Jussa mwisho wao ni Magomeni,mzimu wa Dr Slaa utaimaliza UKAWA ,na Chadema hii UKAWA ya Mbowe,Mbatia na Makaidi na Maalimu Seifu(yeye ni UKAWA remote)muda si mrefu itakuwa mnara wa Babeli
 
CUF oyeeeeeeeeeeeeeeee--UKAWA --oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Natamani kamanda Mtatiro apewe uenyekiti wa muda kuelekea uchaguzi mkuu, atawanyoosha vizuri sana magamba
 
UKAWA msikubali kuyumbishwa na watu ambao shetani anawatumia kama silaha zake.

Songeni mbele! Idadi kubwa ya watanzania wanawasapoti kwenye harakati zenu.
 
UKAWA endeleeni kutulia kuondoka kwa viongozi ndo umoja unaimarika!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    65 KB · Views: 394
Dr amesha retreat na Prof amesha surrender...wengine wanafuata

Kikwete anapotezwa na wapambe wanaomzunguka. Inaonekana ameshapigwa panic kali sana sana na sasa anakubali ushauri wowote bila kujiuliza mara mbili. Inachekesha sana jinsi walivyowapa fedha kina Lipumba na kuwaambia waseme. Kuna makosa mengi sana ya kiufundi yanafanyika kiasi ambacho hata ''waliokuwa wamelala'' sasa watajua kila kitu! SUBIRI UONE HII PLAN YA KUNUNUA WATU ITAVYO-BACKFIRE vibaya kwa CCM!
 
Prof Lipumba anataja sababu ya kuachia uenyekiti ni kujiunga UKAWA kwa watu kutoka CCM walioipinga katiba iliyopendekezwa na tume ya Warioba. Hiyo ni sababu dhaifu sana.
 
chadema wamekuwa wasemaji wa cuf;


mama sakaya ndo wakutoa tamko; aksante chadema ; kuwa wasemaji

kama mlivyowapa raisi ukawa kwa kikao cha upande mmoja ; mkiogopa kura za siri na wazi



jussa hayupo ukawa; kakataa kabis\a kuwa mgombea mwenz\a kisa kukabidhiwa kadi ya chadema badala ya

cuf
Wivu utakumaliza mkuu
 
Ina maana katishwa huku akitamanishwa mlungula au? Mbona ghafla hivyo? au ndio amekuwa Le profesa wa ze comedy kasahau lengo!! Au aliwekwa kimkakati kuufanya upinzani udumae?
 
Dah! Wakati kama huu, kwenye safu ya washambuliaji unamuona striker anaomba kutoka, basi kuna mawili, kwamba kazidiwa kweli au kuna lisiloonekana na wengine. Kuna shaka katika mahusiano ya prof. na wapinzani wetu, lakini tusubiri tutajua mwisho wa siku.
 
Hapo nyuma kulikua na raarida za prof kujitoa kwenye ukawa magdalena sakaya alibeba jukumu na kuja mbele ya vyombo vya habari na kutuaminisha kuwa prof hawezi kamwe kuachana na ukawa kwamba hata jina lenyew ukawa yeye ndo mwanzilishi....mbowe na yeye kwa upande wake alitwambia kuwa wanajirahidi kwa kila hali ukawa isife,kwamba wanatofautiana kwa baadhi ya mambo lakin wanayahudle kwa uangalifu mkubwa ili ukawa isiguswe.sasa lipumba ndo hivo kajiondoa,dr slaa bado haijulikani anampango gani,
Wapenda mageuzi siku hatulali wala kukaa hata dk kumi bila kuchungulia mtandaoni kujua ni nini kinaendelea,kwa hali iliopo sasa lolote laweza kutokea hatujui ni nani anafata,sara zetu ni ukawa ufike mwisho wakiwa na nguvu na uwezo wa kuwang'oa hawa ccm..
 
Back
Top Bottom