Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.
 
Safi sana kwa kuwa na mtazamo bora sasa...Kuwa wewe kama wewe maana wajinga wa hivyo tupo wengi.
Keep it up mpaka tufikie stage ya kuona mziki wa Tanzania si ushindani wa Kiba Vs Diamond.
Kuna kazi nying na nzuri zinafanywa na wasanii wengine.Hongera na Asubuhi njema.
 
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.

Sawa u gat a point but ckuwa n lengo ya kusambaza chuki n km taarifa tu
 
Attachments

  • 1438924996004.jpg
    1438924996004.jpg
    19.5 KB · Views: 602
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.

Umesema vema...

Hujambo..
 
jamani naomba kujua ni kweli Diamond katika speech yake alianza kusema
mafanikio mojawapo ya sanaa ni mtoto wake kupata followers wengi??.

hahahahaha hakusema hivo..

Alichozungumzia ni ukuwaji wa sanaa kwa wasanii kuwa na thamani mpaka kufikia kwa mtoto w msanii aliye na masaa kadhaa tu kupata endorsement deal ya almost mil 50, ili awe anavaa nguo za hilo duka...

50 mil sio mchezo kwakweli maana hata kwa msanii wa kawaida kutengeneza hiyo pesa ni ishu, Pongezi kwake....
 
Safi sana, wamependeza wote.Kiukweli nimechoshwa na huu upuuzi wa kujadili maisha binafsi badala ya kazi zao...
Tubadilike.

Kujadili maisha binafsi haizuiliki kwakuwa wao ni big Celebrities...

Tatizo kwa kila utachowaongelea Utawaongelea katika perspective ipi?? maana chuki iktangulia ndio tatizo linapoanza...
 
Back
Top Bottom