Search results

  1. hendeboy

    Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Huyo alikula hela sasa anaanza kujutia vinginevyo kama kweli hakupiga kula angeongea kwa kupaza sauti lakini ukiangalia anavyoongea, anavyoongea utagundua kuwa alifanya hivyo.
  2. hendeboy

    Msaada jamani

    My laptop keypad is not working please who knows solution help me
  3. hendeboy

    Butiku awataja maadui wa serikali tatu...

    ahsante kwa taarifa tumesoma bado tunaitafakari
  4. hendeboy

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa mwalimu yeyote anayehitaji kurudi manyaa please ni m
  5. hendeboy

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sec mbulu- manyara natafuta mtu wa kubadilishana nae aliyeko TANGA, MOROGORO, KIBAHA, MKULANGA, CHALINZE
  6. hendeboy

    Msaada kuhusu crdb mobile

    nimejaribu but mwishoni inasema wrong pasword
  7. hendeboy

    Msaada kuhusu crdb mobile

    Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya kujiunga na crdb simbankig kwa njia ya simu
  8. hendeboy

    Pole January Makamba

    Mimi napita tu mwaka usiishe bila kuandika kitu
  9. hendeboy

    Jakaya foundation

    Mwenye kufahamu zilipo ofisi za Jakaya Foundation anijuze, nimesikia wanatoa mkopo bila mashart. Tafadhali nisaidieni.
  10. hendeboy

    Tatizo la nguzo za umeme Tanesco litaisha lini?

    hilo kuisha mpaka ccm itoke madarakani.
  11. hendeboy

    CHADEMA wazomewa Mwanza

    noted tutawatafuta waliozomea
  12. hendeboy

    Polisi Tz: Tunawashikilia askari wetu wanne kwa mlipuko wa bomu Soweto

    Jamani leteni habari za uhakika acheni ushabiki wa vyama na propaganda zisizo na maana hili ni jukwaa la kuelimisha sio kuleta ubabaishaji.
  13. hendeboy

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    huna jipya inamaana mkutano mzima msemaji alikuwa Tundu Lisu tu, mbona lengo la mkutano husemi unaongelea tundu lisu tu.
  14. hendeboy

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    kwan kakobe alichokosea ni nn coz na yeye ni mtanzania kama wengine hivyo ana haki ya kudai katiba huru iliweze kuendea kuhubiri injiri kwa amani zaidi.
  15. hendeboy

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    kumbe ww hujui hapo chadema inatengeneza mazingira mazuri huko zanzibar
Back
Top Bottom