Search results

  1. medsebapol

    Historia ya calendar ya mwaka 1995 iko sawa na ya mwaka 2017

    Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen badilisha mwaka✍[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. medsebapol

    WANAUME HATUZEEKI KIRAISI RAISI

    Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"...
  3. medsebapol

    SUKARI• ÀSANTE SERIKALI

    GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja. SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998.. napenda sana kusoma news za zamani.
  4. medsebapol

    DSTV wanadai kupunguza bei(JIPU BADO)

    Ni #BusinessUnusual DStv, tumepunguza gharama za vifurushi! Gharama mpya kuanzia LEO! tarehe 1 Novemba 2016 ni: Premium Kutoka sh.219,000 - 184,000 Compact Plus Kutoka: sh.147,000 - 122,500 Compact: Kutoka sh.84,500 - 82,250 Family: Kutoka sh.51,000 - 42,900 Bomba: Kuanzia Tarehe 15 Novemba...
  5. medsebapol

    Cha mwenzako kikinyolewa, chako kitie maji

    Jamaaa mmoja kakodi taxi akawa anatembea katika jiji mara kapita gest moja akamuona mkewe anaingia gest jaamaa akamwambia dereva simama, je ? unataka laki tatu za chap chap ?? dereva akajibu ndio .Jamaaa akamwambia nenda mule gest kamtoe mke wangu picha yake hii hapa, tena uwe unampiga mateke...
  6. medsebapol

    SWARI LA WEEKEND

    Nina swari la kiuchunguz apa asa nimegomea kwenye hewa. HIVI MCHERE UKIWA UNAPIKWA MAJI UMEZA MCHERE AU MCHERE UMEZA MAJI
  7. medsebapol

    Hizi ndo UEFA updates

    Aseno [emoji810] mpka sasa ana [emoji460] 5 Barca [emoji810] mpaka sasa [emoji460] 3 B Munich[emoji810] mpk sasa wana [emoji460] 4 Paris [emoji810] anaongz [emoji460] 2 Dortmund [emoji810] ana [emoji460] 1 Ozili anawasha moto(gori 4) pia na mess (3)
  8. medsebapol

    WIVU

    Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya ...inauma sanaa... WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
  9. medsebapol

    Mshahara aupendagi ujinga nao

    Maisha bhana huwa nayo hayapendag ujinga kabisa...!!! Mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi)...kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabsaa (unazurura...
  10. medsebapol

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Habari wakuu, Kama tujuavyo, safari ya kuelekea vyuoni kwa wanafunzi imeiva na wengine wameshaingia, wengine wanajiandaa lakini pia wapo ambao hadi sasa hivi bado ramani haijakaa vizuri. Wengi wamekumbwa na sintofahamu, wengine wamekata tamaa na kadhalika. Naamini humu kuna wazoefu wengi ambao...
  11. medsebapol

    Tanzania Kutengeneza gari la kwanza

    Kampuni ya SIMBA MOTOR inajenga kiwanda cha kuunganisha magari apa Tanzania na wamesema kabla ya 30 December mwaka huu kitakua kimeshaanza kuzalisha magari apa nchini. CHANZO....... :: Kampuni Ya Kitanzania Ya Simba Motors Kuunda Gari La Kwanza Kabla Ya Desemba 302016
  12. medsebapol

    WANASAYANSI NA WASOMI WA TANZANIA

    Mimi sio mtaalamu kabisa juu ya mambo ya upimaji au utabiri ila nimeshangaa sana kuona wanatekinorojia wa kitanzania kutokuwa na VIFAA vya kutumia kujua au kutatulia matatizo. Hii imetokea mkoan kagera baada ya tetemeko la aridhi kutokea basi wametumia gogo kupointi sehemu tetemeko lilipoanzia...
  13. medsebapol

    Utofauti wa wanawake: Je wako yuko upande upi hapa?

    RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE 1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you! 2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu tarajiwa. 3. Sitaacha kukupenda, nitakuombea na...
  14. medsebapol

    Baada ya mabasi, treni kupanda bure kujifunza, sasa ndege tupande bure

    Mabasi ya mwendokasi, treni walitupandisha bure week nzima. Ili tuweze kujifunza yanavyofanya kazi. Na kwavile Serikali inapenda wananchi wake. Na kwenye ndege waturuhusu tu tukapandishwe week nzima buree. Ili tujue umuimu wa kutumia anga letu.
  15. medsebapol

    Unajidai na zigo, wenzio wanajidai na bikra

    Mfalme mswati anapewa bure msichana bikra kila mwaka tena huku chuchu zimesimama hatari, Wewe na ndala kifuani na umetumika kama mashine ya kukaanga bisi bado unataka gari na noti noti.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]
  16. medsebapol

    HATA KAMA NI KUPATWA MATANI TUACHE soma mwenyewe

    tetemeko kagera na Baba Rwegazira ba Koku:Asante ndugu mtangazaji kwa this very good opportunity...infact ni jambo la kusikitusha sana.It was around saa nane na nusu hivi...tukiwa tunaangalia mpira wa Manchester united sebuleni kwangu kwenye my new Samsung Hd tv niliinunua Ujerumani wiiki...
  17. medsebapol

    KONDA NA MWIZI

    Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha uvumilivu sana, je utakuwa nyumbani nije? Jamaa akafurahi sana akashika simu akaandika "Ndio nipo mpenzi njo...." kabla...
  18. medsebapol

    Tamko la kushangaza kabisa

    Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea ARSENAL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  19. medsebapol

    MTIANI UJIBIWE NA WAKEREKETWA TU

    HISTORY EXAM 1.Factors for Ukuta resistance to fail. a) lack of unity eg CUF and Ukawa b) strong magu army c) poor government support d) lack of military suport e) Mbowe eats cement money. f) Cleanliness by JWTZ soldiers around the areas in TZ g) Presence of puppet Leaders in CHADEMA h) Solar...
  20. medsebapol

    Hillary Clinton anasema hivi

    Check out @HillaryClinton's Tweet: 7
Back
Top Bottom