Utofauti wa wanawake: Je wako yuko upande upi hapa?

medsebapol

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
327
225
RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE

1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!

2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu tarajiwa.

3. Sitaacha kukupenda, nitakuombea na nitaku-support pale ukinihitaji kwa chochote hata kwa ushauri nishirikishe, plz kuwa mwaminifu na mie.

SASA UWE NA MWANAMKE MWENYE BIRTH CERTIFICATE TU

1. Morning babe, send me credo..plz bae

2. Bae plz dont 4get pizza, alaf kuna mtu anauza perfume nzuri kweli. Luv u xo xo

3. Bby time 4 swimming, naenda na my friends then i need some money plz

4. My handsome boy buy me data plz

5. Mpeenzi sijikii kuthoma 2chat uko, mi ntalia.. nshanuna hapa..

Kazi ipo hapo km unamiliki wa design hii

[HASHTAG]#Usinitafute[/HASHTAG] haraka
 
Mama clare yeye hatabiriki kila siku anakuja kivingine
 
hakuna ukweli hapo,kundi lolote linaweza kufanya lolote kati ya hayo
 
RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE
1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you!
2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe amani na upendo katika familia yetu tarajiwa.
3. Sitaacha kukupenda, nitakuombea na nitaku-support pale ukinihitaji kwa chochote hata kwa ushauri nishirikishe, plz kuwa mwaminifu na mie.

SASA UWE NA MWANAMKE MWENYE BIRTH CERTIFICATE TU
1. Morning babe, send me credo..plz bae
2. Bae plz dont 4get pizza, alaf kuna mtu anauza perfume nzuri kweli. Luv u xo xo
3. Bby time 4 swimming, naenda na my friends then i need some money plz
4. My handsome boy buy me data plz
5. Mpeenzi sijikii kuthoma 2chat uko, mi ntalia.. nshanuna hapa..

Kazi ipo hapo km unamiliki wa design hii
 
Kila binadamu na Hulka zake hao wasomi pia wapo Vimeo,na wasio soma pia wapo wastarabu na waungwana,chamsingi ni kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...
 
mnakosea sana kuna demu wa kupiga na wakuoa na wala usikae ukalazimisha wakupiga awe wakuolewa never hilo lilikua kosa la mama yake na baba yake hutoweza kurirekebisha
 
Kwa wanaume wengi nnaowajua wanaogopa kua na wanawake wasomi. Ila nawaelewa kwa sababu ya mwanaume kupenda kutawala...
Eti wanawake ambao sio wasomi wanakua wake bora, wanyenyekevu na watii.
 
Kila binadamu na Hulka zake hao wasomi pia wapo Vimeo,na wasio soma pia wapo wastarabu na waungwana,chamsingi ni kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...
Apo juu ndo maana kuna aina mbili za wanawake MSOMI NA MWEREVU
Kila binadamu na Hulka zake hao wasomi pia wapo Vimeo,na wasio soma pia wapo wastarabu na waungwana,chamsingi ni kumuomba mungu akupe mwenye kheir na wewe...
 
Kwa wanaume wengi nnaowajua wanaogopa kua na wanawake wasomi. Ila nawaelewa kwa sababu ya mwanaume kupenda kutawala...
Eti wanawake ambao sio wasomi wanakua wake bora, wanyenyekevu na watii.
Uoga tu huo ili mwanamke akusikilize mtawale mpaka moyoni uje uone hayo mengine yatatoka wapi
 
by the way huyo no 1 asipogusia ombi la hela jua yupo anae mpa pesa zaidi yako hivo we utakuwa wa kipozeo tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom