Search results

  1. daniseckadam

    Mwenye experience na biashara ya pub naomba msaada wako

    Wakuu kwa yoyote mwemye experience na biashara ya pub naombeni msaada kwenu huwa mnamanage vipi,je vitu gani huhitajika ili pub iwe imejitosheleza,stocks zake mnamanage vip.
  2. daniseckadam

    Android os kwa ajiri ya pc

    Wana JF kwema? Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na os mbili za jamii ya android ambazo unaweza zitumia kwenye computer yako 1.remix os 2.phonex os Kwa wale wenzangu na Mimi wenye computer ambazo zipo slow,hizo os mbili hazihitaji ram kubwa sana,pia unaweza kuzitumia ukiwa na os...
  3. daniseckadam

    Biashara ya mtandao

    UMEWAHI KULIPWA PESA HUKU UKISOMA VITABU ??? (Have you ever earned Big money While Reading Books) Nimechunguza matajiri wengi zaidi Tanzania na duniani kote kwa kweli nimebaini kuwa wengi ni wasomaji wa vitabu vya ujasiriamali au ni waandishi wa vitabu! Erick Shigongo ni mfano mkubwa sana...
  4. daniseckadam

    Njia rahisi ya kutegeneza hela

    4Corners Alliance Group ni kampuni inayotokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani. Imeanzishwa mwaka 2012 na mwanzilishi wake akiwa ni David Harrison ambaye alikuwa ni mfanya biashara ya aina ya mtandao (network marketing) katika kampuni ya Herbal Life. 4Corners...
  5. daniseckadam

    Moja kati ya njia za kupata mtaji

    Jamani mara nyingi sisi vijana tumekua tukifikiria ni kivipi tunaweza kupata mtaji,mimi nahisi ni kutokana na kukosa taarifa,hivi karibuni nimejiunga na kampun ya kimarekani inajishughulisha na kuuza vitabu kwa mfumo wa MARKETING NETWORK,hii njia ni nzuri kwani unaweza kuwa unafanya mambo yako...
Back
Top Bottom