Moja kati ya njia za kupata mtaji

daniseckadam

Member
Jul 15, 2015
72
30
Jamani mara nyingi sisi vijana tumekua tukifikiria ni kivipi tunaweza kupata mtaji,mimi nahisi ni kutokana na kukosa taarifa,hivi karibuni nimejiunga na kampun ya kimarekani inajishughulisha na kuuza vitabu kwa mfumo wa MARKETING NETWORK,hii njia ni nzuri kwani unaweza kuwa unafanya mambo yako kama kawaida huku unaingiza hela kwa huo mfumo kampuni inaitwa fourcorners allince group kwa data zaid nitumie private message,pia unaweza kuuliza swali au kutaka kuelewa zaid kwa kureply asanteni
 
Back
Top Bottom