Search results

  1. chisagapipi

    Leo ni Kumbukumbu ya kifo cha Tx Moshi William

    Ally mhoja kishiwa tx moshi tanzania.imebaki simulizi,rip,kuna nyimbo kali sana kama mama kanitupa,wosia wa mama,kiala chenja,ajuza,hatarii tupu
  2. chisagapipi

    Ummy asema maombi ya madaktari kwenda Kenya yanamiminika wizarani

    Ile taarifa ya madaktar wa kunya ni feki,hivyo inahitaji kuwa verified,sis twafunga mabegi kuelekea kericho,nakuru,kisumu na mombasa
  3. chisagapipi

    RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

    Dmo is not a disease,and cholera a disease,
  4. chisagapipi

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    The late mwl nicholaus chedego chalula primary school rip
  5. chisagapipi

    Pale mke anapokua na matatizo ya uzazi ni sahihi mume kuzaa nje?

    Kwa wale ambao hamjapitia hili jaribu ni gumu hatar,ila tujiulixe kwanini tunazaa,sababu ni kwambabtuendeleze ukoo,tupate wasaidiz uzeeni,hapa ni kumuomba mwanamke akubali.
  6. chisagapipi

    Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

    Epl na la liga,la liga next level,usifanamishe fimbo na bakora
  7. chisagapipi

    Ali Kiba: Sihangaiki kujifunza kiingereza, hakina ishu

    Kiingereza ni cha waingereza tu,sis tuna lugha zetu ban
  8. chisagapipi

    Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

    mimi naona ni kawaida tu.lazma wawe creative.ili wapate hela ya ziada kwa matumiz mengin ya kifamilia.salary hazikidh ukilinganisha na ugumu wa maisha
  9. chisagapipi

    Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida awekwa mahabusu baada ya wananchi kuugua kipindupindu

    singida dodoma na tabora ni mikoa iko highly prone to cholera epidemic kila mwaka kwa sabanu ya extremely water shortage.
  10. chisagapipi

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    wakat lingala inatisha kulikuwa na wapiga gitaa wengi sana mfano,dali kimoko,diblo,benico,allain makaba,burkina faso kasongo,nene tchaku,sheshe kalonda,wakipigia sehem mbambali wakat huo nakumbuka la nouvelle generaciones awillo longomba akipiga drums,hatarii
  11. chisagapipi

    Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    kwa mimi diblo dibala yankomba na dali ndala kimoko wote walikuwa wakali sana
Back
Top Bottom