Search results

  1. J

    Mashirika sita ya umma ni tegemezi kwa serikali

    Mashirika sita makubwa ya umma yanaitegemea serikali kwa kila kitu mpaka mishahara ya wafanyakazi. Mashirika haya ni mzigo mkubwa kwa taifa. Mashirika hayo ni TTCL, TAZARA, TRL, ATCL, Twiga Bancorp na Tanzania Women's Bank. Hayo yamesemwa na treasury Registrar bwana Mafuru. Pia Mafuru kasema...
  2. J

    Majanga ya shule jimboni kwa Mwakyembe

    Watoto shule hii Kyela wanatumia choo kimoja. Msomi wa shahada sita wananchi wake hoi.
  3. J

    Ubinafsi wa CHADEMA makao makuu waikosesha CHADEMA Jimbo la Kyela

    Katika majimbo yaliyoniuma kwa CHADEMA kuyakosa ni pamoja na Jimbo la Kyela, kule kwa Mwakyembe. Nilishiriki kufanya utafiti kwa niaba ya timu ya mzee Lowassa juu ya nani angeliweza kulichukua hilo Jimbo kwa niaba ya CHADEMA. Mapendekezo yetu yalionyesha Mwakyembe alikuwa hakubaliki Kyela na...
  4. J

    Chaguzi za ndani CHADEMA zinaanza lini?

    hivi chadema chaguzi zenu za ndani zimefikia wapi? demokrasia ndani ya vyama ni muhimu sana
  5. J

    Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

    Zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!! Tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao wanachanganya sheria according to jk. maliza shughuli ndani njoo nje tukubebe mpaka kokote uendako...
  6. J

    Wapenzi na marafiki wa Zitto - kesho tena mahakamani

    ndugu, wapenzi na marafiki wa zitto, leo tumefanya jambo la maana sana pale mahakamani. tumewaonyesha ya kwamba zitto ni kipenzi cha vijana wengi. hatukutaka kwenda mahakamani lakini walichofanya chadema ijumaa kuandaa vijana kumzomea zitto ndio kimetukusanya sisi wapenzi wake wote. wameanza...
  7. J

    CHADEMA wataka wabunge 2015 kufanya mtihani

    [B][I]Paper noma, tutasikia waheshimiwa wakiandika mambo ya zombi
  8. J

    Sitta ni Mwongo na Mnafiki, Jiuzulu mara moja

    sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi. hatutaki viongozi wanafiki na waongo!
  9. J

    Mazungumzo na Dr. Slaa: Maswali na Majibu

    Nina maswali magumu ya kumuuliza. tafadhali baba rudi jf tujadili ile posho kubwa ya milioni 7.5 ninayo maswali mengine kuhusu mchumba wako wa kudumu kuwatumia waheshimiwa sms za mipasho. maswali mengine yanahusu demokrasia finyu ndani ya chama chako. eti diwani wa arusha hawezi kuamua kitu...
  10. J

    ccm waiga mbinu ya chadema jf

    ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko. ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe...
  11. J

    Chadema nao wanakula bila kunawa

    chadema nao kumbe wanatafuna mapesa yetu bila kuwajibika mbowe anazitafuna tu hizo na kusingizia anajilipa madeni. Vita ya ufisadi yageukia vyama vya siasa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovic Etouh Ramadhan Semtawa VYAMA sita vya siasa vyenye wawakilishi...
  12. J

    Mrema aungwe mkono kukomesha halmashauri zilizokubuhu ubadhirifu

    Mrema aungwe mkono kukomesha halmashauri zilizokubuhu ubadhirifu Na Mhariri (Nipashe) Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Augustine Mrema(mbunge wa Vunjo-TLP), wiki hii imeendeleza makali yake kupambana na halmashauri zinazolegalega katika kusimamia...
  13. J

    Halmashauri - Mrema huyo anakuja

    baba daktari mrema akisema hutekeleza Wabunge kuwaweka 'kiti moto' watendaji halmashauri Daniel Mjema, Same KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) leo inaanza ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro ambapo inatarajiwa kuwaweka kiti moto baadhi ya watendaji wa halmashauri kuhusu...
  14. J

    Dowans nyingine inakuja

    Tanzania yaingia ubia umeme wa upepo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Power Pool East Africa, Machwa Kagoswe, akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu (katikati)kuhusiana na eneo litakalotumika kuzalishia umeme wa upepo mkoani Singida juzi. Serikali imeingia...
  15. J

    Dr. Slaa Ashindwa Kuifikia Rekodi ya Mrema

    it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
Back
Top Bottom