ccm waiga mbinu ya chadema jf

Jenifa

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
605
305
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.

ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.

magwanda wamefulia
 
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.magwanda wamefulia
Crap!Crap Crap!
 
Kwa hiyo magamba uwezo wenu wa kufikiri na kutenda umefika ukomo mpaka CDM waanzishe ndiyo mnakili. Ndiyo maana uongozi wa nchi umewashinda kazi mliyo nayo ni kutafuna posho tu.
 
Kwa hiyo magamba uwezo wenu wa kufikiri na kutenda umefika ukomo mpaka CDM waanzishe ndiyo mnakili. Ndiyo maana uongozi wa nchi umewashinda kazi mliyo nayo ni kutafuna posho tu.
kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.
 
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.

ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.

magwanda wamefulia
Toa mfano!
Habari za hapo Msoga!
 
kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.
Hakuna posho kwa madaktari Wakatoliki ya 7.5m/-! Hao madaktari unaowachukia hata mama yako akitaka kwenda kujifungua watamzalisha bila kujali dini yake!
 
Hakuna posho kwa madaktari Wakatoliki ya 7.5m/-! Hao madaktari unaowachukia hata mama yako akiugua watamtibu bila kujali dini yake!
libaba,
wewe ni mtupu mno kichwani. unashindwa kujua daktari wa wakatoliki hawezi kutibu. sio kila anayejiita daktari anaweza kutibu binadamu. daktari wa wakatoliki ni slaa
 
libaba,wewe ni mtupu mno kichwani. unashindwa kujua daktari wa wakatoliki hawezi kutibu. sio kila anayejiita daktari anaweza kutibu binadamu. daktari wa wakatoliki ni slaa
Hata Slaa si Daktari wa wakatoliki, mambo ya ukasisi alishaachana nayo, anawatumikia na kuwatetea Watanzania wanaokandamizwa na jinamizi la ufisadi linalofugwa na Magamba!
 
Halafu magwanda ukiwashika pazuri si matusi hayo wanayoteremsha na kushambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja.
 
Akili zenu za kushikiwa, hamna mbinu mpya zaidi ya kuiga. Wakati nyie mkiiga hii ya CHADEMA, wao wameanzisha nyigine. Imekula kwenu, hata siku moja vilaza hawawezi kukaa meza moja na magenius
 
kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.
Huyu ni muhitimu wa chuo kikuu cha kiislam morogoro kwa sababu mawazo yako yanategemea kupewa tu, basi subiri tende za msaada ziko njiani kutoka Saudia.
By the way kuna nafasi ya kazi mtaani kwangu anahitajika mwalimu wa madrasa mshahara ni kahawa, nipm nikupe address.
 
Halafu magwanda ukiwashika pazuri si matusi hayo wanayoteremsha na kushambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja.
Mswahili wa kariakoo huyu, pale panapoongoza kwa wazawa kuishi kwenye nyumba duni kuliko sehemu yoyote Dar es salaam.
 
Hawa watu kwenye thread kama hizi ndio wanachangia,mbona kwenye thread za matatizo ya umeme hawaonekani???haha imekula kwenu na kila mahali mmebanwa,mkianzisha hivi basi tunakuwa tumeshawatangulia....mngejichanganya na kule pia then tungekua nyinyi ni wajanja zaidi na sio pumba mnazoleta hapa.....
 
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.

Ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. Wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. Sasa chadema wanalia. Kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.

Magwanda wamefulia

mbona sikuelewi una maana gani?? Au uko usingizini maana post yako haileweki hata kwa profesor.
 
Back
Top Bottom