Search results

  1. Barikiel

    Madhara ya kufumbia macho haraka za Madereva

    Ifike mahali abiria wanapo ona Dereva anaendesha gari mwendo ambao sio mzuri wajisimamie na waache kuja kusema mwendo ilikua mkali.
  2. Barikiel

    Msaada kuhusiana na hizi betting

    Habari za asubuhi wadau wa mchezo, nina imani mupo salama. Naomba kuuliza kwa wale wataalam waku-edit, mimi nipo kwenye group fulani hivi la kubeti lakini huwa nakua na wasi wasi na huyu jamaa, maana mikeka yake anayoweka ni %100 ina shinda. Na mikeka yake anauza mkeka mmoja shilingi laki moja...
  3. Barikiel

    Maandiko yanasema tuishi nao kwa akili.

    Unaijua saa mbovu? Hivi mtu akiku ulizamda na saa yako ni mbovu unamjibu nini? Mimi kwa uzoefu wangu fasta nitakisia nita angalia jua na nitamjibu. MUNGU Alituoatia saa mbovu tuzivae kila mda inahitaji kurekebishwa ili isikupotezee muda. Mwanamke ni sawa na saa mbovu inapaswa kila wakati...
  4. Barikiel

    Habari na hoja mchanganyiko

    Mwenyekujua jina la hii movie tafahali.
  5. Barikiel

    Facebook wameni block

    Habari za asubuhi wadau, mimi nimezuiliwa na hawa Facebook siwezi kutoa coment yoyote wanadai nimekiuka maudhui yao. Masaada wenu nifanyeje?
  6. Barikiel

    Taratibu gani nifuate nipate kibali cha kusafirisha mazao nje ya nchi?

    Habarini za asubuhi wadau, Nipende kumshukuru MUNGU kwa kutupatia siku nyingine ya leo. Nilikua naomba msaada wa kujua hili jambo. Natamani nifanye biashara ya mazao kupeleka nje ya nchi. Tatizo ni vibali au niseme kibali, ni utaratibu upi nitumie ili niweze kupata vibali? Nianzie wapi kupata...
  7. Barikiel

    Nasakamwa kwa kujenga ukweni. Tatizo liko wapi?

    Mimi namshukuru sana MWENYEZI MUNGU Kwani amenijalia maisha siyo mazuri sana wala mabaya sana. Kanipa mke katujaalia watoto 4 kakibanda ka kujisitiri na wanangu. Lakini nikaona pale ukweni hapa furahishi hawako vizuri kivile nikaonelea nifanye kautaratibu ili wakwe zangu nao wajisikie kama...
  8. Barikiel

    Kwa kituko hiki vipi?

    Nimeangalia hii [emoji822] hadi nime cheka sikucheka tu kwa furaha ila kejeli. Hapa kuna mkusanyiko wa rika zote alafu teja mmoja anaropoka maneno ambayo hayana maadili na watu wanshangilia wanafurahi hakuna wa kukemea hili siyo muandaaji wa show wala vyombo vya usalama.
  9. Barikiel

    Kiwanja kinauzwa

    Kipo kiwanja kinauzwa kipo Kapri ponti Mwanza jirani sana na Tilapia Hotel bei maelewano. Kwa wale matajiri wa mwanza wanao hitaji kuwekeza fursa kwenu. Kina msingi wa Gorofa tofali kadhaa kokoto tripu 30. Mwenye kuhitaji ani P M.
  10. Barikiel

    Mo. Kijana mzalendo

    Nimemsikiliza Mo Dewji akiwa kwenye kipindi cha Mkasi ni Kijana mmoja mwenye kujiamini na anajiamini anatia moyo vijana wasikate tamaa. Nimemuelewa sana. MUNGU Ampe wepesi pale alipo wasi mdhuru hao matekaji.
  11. Barikiel

    Mkuu wa mkoa wa Tabora namuelewa sana.

    Kumekua na vi clip vifupi vikimuonyesha huyu mueshimiwa akisema sukuma ndani Bibi Arusi sukuma ndani mchungaji wala ubwa bwa sukumandani wote. Nimefuatilia vyanzo vya clip zile nimegundua huyu Mzee Ana faa kua mchungaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Barikiel

    Ni nani msimamizi wa vipindi wa Clouds FM kwa sasa?

    Naomba kufahamu msimamizi wa matangazo au vipindi vya Radio Clouds FM ni nani kwa sasa? Niliyekuwa namfahamu kipindi cha nyuma alikuwa Sebastian Ndege.
  13. Barikiel

    Watch "Mapenzi ni gharama" on YouTube

  14. Barikiel

    RPC Mwanza, Kamanda Msangi atoa ufafanuzi kuhusu uhalifu unaoendelea Nyegezi

    Kuhusu ile hali ya uhalifu iliyokuwa ikiendelea huku Nyegezi na vyombo vya usalama kutokutoa tamko, Leo Kamanda Msangi amelitolea ufafanuzi.
  15. Barikiel

    Mwanza: Safari ya mwisho ya ndugu yetu Agapiti Mallya aliyeuawa na majambazi

    Habarini za Leo ndugu zangu wa Tanzania wenzangu na wana Mwanza wote. Siku mbili tatu zimepita nilileta malalamishi humu ndani kuhusu mauaji yanayoendelea Jijini Mwanza hususani maeneo ya Nyegezi na vitongoji vyake. Leo ilikuwa ndio siku ya kuuaga mwili wa mwenzetu aliekutwa na umauti, Bwana...
  16. Barikiel

    Kutokana na mauaji yanayoendelea; Nyegezi sio salama

    Napenda kutoa masikitiko yangu kwa kile kinacho tokea Nyegezi Mwanza. Jamani Nyegezi siyo salama tena, kuna mauaji yanayo endelea Nyegezi kila kukicha sasa hivi Nyegezi ina nuka mauaji. Mauwaji ya kupigwa mapanga, na nondo. Sisi wa kaazi wa Nyegezi hatuko salama hata kidogo. Siyo waendesha...
  17. Barikiel

    Kulikoni?

    Hii kutanda hivi kuna ashiria nini? Ukiwa na gari mbovu ukiona hivi jasho linatoka lenyewe bila mazoezi.
  18. Barikiel

    Shule kukosa walimu wa lugha

    Naomba niwasemee watoto wetu wanaosoma shule ya sekondari Bunazi iliyopo mkoani Kagera , Hii shule toka muhula huu uanze wanafunzi wanaosoma masomo ya lugha haswa Kifaransa hawajawahi kufundishwa matokeo yake wanajisomea wenyewe. Je, mwaka huu wa mwisho watafanya vipi mitihani yao? Hapa...
Back
Top Bottom