Search results

  1. Akademician

    Kampasi ya Adem Mbeya imeanza kutoa mafunzo ya Diploma ya uongozi wa elimu

    TANGAZO TANGAZO KWA WALIMU WANAOHITAJI KUJIENDELEZA. KAMPASI YA ADEM MBEYA IMEANZA KUTOA MAFUNZO YA 1. DIPLOMA YA UONGOZI WA ELIMU (DEMA/DELMA) 2. DIPLOMA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE (DSQA) KWA NJIA YA KUSOMA WAKATI WA LIKIZO (BLENDED) KUANZIA OKTOBA 2023. FOMU ZINAPATIKA KWENYE Website yetu ya...
  2. Akademician

    Hii betri mpya inapatikana madukani?

    Simu ni TECNO BOOM J5, ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA, Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni. Nisaidieni...
  3. Akademician

    Upatikanaji wa spea (betri) ya Tecno Boom J5

    Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA, Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni. Nisaidieni upatikanaji wa betri.
  4. Akademician

    Betri mpya ya Tecno Boom J5

    Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na Inaoperate vizuri tu. Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka. Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana. NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA, Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni. Nisaidieni upatikanaji wa betri.
  5. Akademician

    Natishia kutengwa kisa mke wa Sumbawanga

    Habarini ndugu wanajukwaa. Kuna rafiki zangu wapatao watatu ambao tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi na kusaidiana hata kiuchumi na maarifa, Tumekuwa tukiishi kindugu kabisa. Wawili wana wana ndoa zao na watoto, Mmoja ana mchumba tu. Mimi nimekuwa singo kwa muda fulani tangu nifarakane na...
  6. Akademician

    Watangazaji hawa ni aibu kwa radio station

    Nimesikitishwa na kushangazwa sana kuona radio Hii, Tena iliyopo jijini Dar Kuwa na watangazaji wabovu kama hawa. Hadi mgeni Jide kawaona kituko. Jionee hapa
  7. Akademician

    Kwa BAGAMOYO MJINI

    Habarini wakuu. NAHITAJI chumba kimoja cha kupanga Bagamoyo MJINI. Kiwe MAENEO ya KARIBU Na shule ya sekondari ya EAGLES, Kiwe Na umeme Na MAJI yapatikane. Nyumba husika isiwe Na WATU WENGI Na mikusanyiko ya Mara kwa Mara. Na isiwe SEHEMU ya BIASHARA kama duka, mgahawa, grocery, genge n.k in...
  8. Akademician

    Elimu nchi za Ulaya

    NDUGU naomba mnisaidie KWENYE HILI. Kwa BAJETI ya MILIONI 12 TSHS. NAWEZA KUSOMA MASTER YA MASS COMMUNICATION Ulaya? Ikiwa ni gharama ya Nauli ya kwenda, Ada, Malazi Na maHITAJI ya Darasani? Na ni NCHI GANI YAWEZA KUWA Na gharama nafuu? Karibuni.
  9. Akademician

    Kuprint picha kwa TZS 200/=

    .
  10. Akademician

    TANGAZo LA KAZI MZUMBE

    Wakuu hivi like tangazo LA nafasi mbalimbali Mzumbe University lilitolewa TAREHE ngapi? Naomba kujua tarehe husika ambayo like tangazo lilitolewa, Maanake pale kwenye website yao siiljaiona wakuu.
  11. Akademician

    Tangazo la nafasi mbalimbali Mzumbe University lilitolewa tarehe ngapi?

    Wakuu hivi like tangazo LA nafasi mbalimbali Mzumbe University lilitolewa TAREHE ngapi? Naomba kujua tarehe husika ambayo like tangazo lilitolewa, Maanake pale kwenye website yao siiljaiona wakuu.
  12. Akademician

    Diploma hafundishi A-LEVEL?

    Nimekuta jamaa ambao kwa mazungumzo yao nikabaini kuwa ni graduates wa education chuo flani nchini. Katika stori zao nikasikia wanadai kuwa mwalimu wa ngazi ya Diploma anatakiwa kufundisha O-LEVEL tu Na haruhusiwi kufundisha A-LEVEL, Ila mwalimu wa ngazi ya Degree anaruhusiwa kufundisha O-LEVEL...
  13. Akademician

    Aliyepo Newala kwa sasa.

    .
  14. Akademician

    Pamoja na GPA ya 4.0

    .
  15. Akademician

    Kuchaguliwa Diploma ya Elimu ya Msingi

    Kuna ndugu yetu ni mwalimu wa shule ya msingi wa ngazi ya cheti, Mwaka huu kaapply Diploma in Primary Education. Vipi matokeo ya kuchaguliwa yameshatoka wakuu? Tusaidiane.
  16. Akademician

    Degree ya Zembwela

    Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni. Hivi ni nchi gani wakuu?
  17. Akademician

    Kazi ya Call Center ISON & EROLINK

    Habarini jamani.
Back
Top Bottom