Kazi ya Call Center ISON & Erolink

Unapeleka cv tu kwenye office zao morroco airtel ukishuka kituoni utaona sheli unaelekea barabara y mwenge utaona kanisa unaingia kushoto unawez uliza hapo sio mbali
 
nimeifanya hiyo kazi ila ndani ya mwezi mmoja nikaikimbia asee..inahitaji moyo.
 
Kwaio wamehamia wap hawa majamaa ?? tuambien wadau

Hao erolink washaama masaki. Ofisi wanazotumia ni za hapo morocco. Nilipeleka cv yangu june wakaniita kwny interview hapo hapo erolink..nikapita

Last week wakanipigia tena sijui niende BN mwenge kwa ajili ya interview ya oral na computer. Ila sikwenda.
 
Nilishawai kwenda mwenge hapo kanisani nilinyoosha na ile barabara ilaskuona tangazo wala nini nikarud nikauliza watu wakasema wamehamia masaki opp na marrybrown daah hawa jamaa hata hawaelewek
 
ISON peleka CV quality center orofa ya kwanza pitia mlango wa ndani panda ngazi za umeme kwa mbele utaona kibango kipo juu ISON peleka upande wa kushoto..!!
 
ofisi zao zipo mbele kidogo ya Tumaini University - Mwenge, coca cola road, zipo kwenye ofisi inayoitwa BN aluminium

Pale mwenge ni kituo chao cha kufanya training na oral interview &computer.office ziko morroco ukipeleka cv kisha ufanikiwa kuitwa interview ndo unaitwa hapo mwenge BN
 
Habari zenu wakuu.

Hivi utaratibu wa kupeleka CV kwenye hizo ofisi upoje?

Unaambatanisha na Cover Letter au ni kopi ya CV pekee?

Pia naomba kutambua zilipo hizo ofisi kwa hapa Dar.

Natanguliza shukrani.

Ison nenda quality Centre na cv yako. Ofisi zao zipo first floor mkabala na ngazi za umeme kushoto utaona kibango chao.
 
erolink...huwezi kumaliza miezi mitatu ndugu zangu..inahitaji moyo,kazi ngumu za kupokea simu kama mvua na mshahara kidogo mmno..mtu una degree unalipwa laki 2.5 tu kwa mwezi..serikali imeshindwa kudhibiti kabisa mawakala wa ajira...
 
Back
Top Bottom