Search results

  1. samyz

    Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    Msisahau tiktok ndo balaa
  2. samyz

    Ipi ni simu bora kati ya Samsung S8+ au Galaxy A51?

    Nakuongeze s8+ kimuonekano n nzur kwanza ina alluminium frame sio ayo maplastiki ya midrange za a series kama a51.
  3. samyz

    Ugoro unaharibu meno yangu

    Apo ukiacha geji unabd uanzee kula fegi ili kupotezea arosto mkuu
  4. samyz

    Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

    Usisahau Diamond rock kitu ya shy twn nayo imetake over market saiv.
  5. samyz

    Mgao wa umeme Arusha umeanza

    Ikifika saa tatu wanakata hata sasa hivi amna kitu.
  6. samyz

    Apple Iphone 12 is finally here

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. samyz

    Kidonda kwenye kichwa cha uume

    Mpaka uone mtu kaweka ad na picha ujue kazidiwa wataalam umu msaidieni jamaa.
  8. samyz

    Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Yah tofauti apo n mwaka tu lakn ata akimaliza diploma akiunganisha degree kuna uwezekano wa kupata mkopo pia.. Apo option n yako mwenyewe. Ila mi naona option nzur ni uende chuo mapema na sio a_level coz unagain proffesional yako mapema na unapata vyeti kuanzia certificate na kuendelea, coz kuna...
  9. samyz

    Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Huwezi kumaliza form 4 ukaenda diploma lazima uanze certificate kwanza mkuu. Ingekuwa form 6 kama ujafaulu ndo unaanzia diploma.
  10. samyz

    Hamisi Mandi (B 12) rasmi E FM kutoka Clouds FM

    Yah naona Adi fetty nae karudi
  11. samyz

    Nenda kazime taa...

    [emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. samyz

    Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    We n ke au me? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. samyz

    Garage ipi nzuri kwa magari ya ford explorer mkoani Arusha?

    Sjajua mayb ukaulize Sent using Jamii Forums mobile app
  14. samyz

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Hiyo si griller Sent using Jamii Forums mobile app
  15. samyz

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Hiyo c griller mkuu au nafananisha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom