Search results

  1. Little John

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Ni hakika na kweli kila mwamba ngozi huvutia kwake, usipokaza upande wako hilo ni wazi ngozi itajikunja kwako. Naona wazi kabisa akili ya mwanadamu wa kawaida inakwenda kufikia mwisho sasa, hapa ndipo uwezo wa Mungu mwenyenzi utakapoanzia. Wapedwa, kwa sasa watanzania tunamuhitaji Mungu kuliko...
  2. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Ooooooh!!! thanks nimejifunza kitu hapo thanks again. Kila siku najifariji najua kwamba heka moja ni mita 70 kwa 70 hivyo heka moja ni 4,900 sqm. Thanks kamanda.
  3. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Pole ndugu yangu, nililiona mwanzo sana hilo, nahisi hakuna jibu la moja kwa moja kuhusu gharama, zinatofautiana kwa mtu na mtu na sehemu uliyopo. Ukipenda kumjaribu huyo jamaa niliyemtumia mimi nitumie ujumbe wa private nikupe namba zake umtafute. But in short changanua katika maongezi hayo...
  4. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Asante sana. Shamba la heka moja najua lina 4900 sqm., pakitolewa barabara hapo naweza kubaki na 2000sqm.? Hivyo heka 4 nikapata 8,000 sqm.?
  5. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Thanks ndugu yangu maana mambo hayo yanahitaji ushauri. Sasa hilo la range za viwanja vya low density ikoje? Nimeuliza hapo juu.
  6. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Samahani naomba kueleweshwa hizi law density, medium na high density range zake katika sq. meter zinakwendaje? yaani nikitaka kupima shamba langu zima liwe na viwanja vya low density kwa heka moja nitapata viwanja vingapi?
  7. Little John

    Kupimisha Kiwanja na kupata offer...

    Kila mtu ana ushuhuda wake hapa, sasa sijui kama tunaweza kumsaidia ndugu yetu au la but upimaji kwa sasa ni biashara kabisa hivyo tukienda kichwa kichwa tutapigwa ile mbaya. Mimi nimeanza process za kwanza, shamba lipo kibaha ekari 4, umbali wa 12kms kutoka barabarani kuu, jamaa kuja kulipima...
  8. Little John

    Nafasi pccb link hapa

    Thanks nimeshapata jibu. Nami sikujua hizi nafasi zilivyotangazwa nikaulizwa swali hili na dogo sikupata jibu la haraka. Kumbe nafasi zilizotangazwa ni group mbili tu, hivyo wao wamezitenganisha kutokana na certificates zako. Hivyo inategemea group uliyoombea ndio unakwenda kwenye interview yake...
  9. Little John

    Tangazo la maombi ya kazi (PCCB)

    Thanks Kada kwa kumsaidia dogo, nami nilikuwa natafuta njia ya haraka ya kumsaidia tatizo lake. Naona amewaelewa wana JF na amejifunza jinsi ya kuandika siku nyingine.
  10. Little John

    Nafasi pccb link hapa

    Samahani wadau. Noamba msaada wenu. Nimesoma hilo tangazo, usaili ni tarehe 17 January 2014 kwa Investigation Officers saa 9:00 a.m na kwa Assistant Investigators saa 12:00 p.m. Je hao wengine walioitwa kwenye usaili watapangiwa tarehe nyingine au ndio hizo hizo wanajichanganya humo?
  11. Little John

    Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Mkuu ni huduma kuboreshwa tu lakini madai ya kupita mizani bila kupima naona kama haiwezekani kwa kuwa control ya gari pia inategemea na mzigo uliobebwa na pia kuna maximum load kwenye tairi ya gari hivyo ukizidisha kuna possibility kubwa ya kupasua tairi hakuna asiyejua matokeo yake . Hivyo...
  12. Little John

    Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Duuuu!!! haya safari njema kwa wasafiri wote kwani huko njiani sasa ni mashindano tu ya kuwahi muda.
  13. Little John

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Mkuu tupe matokeo ya sokoni vipi umefanikiwa?
  14. Little John

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Mkuu asali nzuri sana pia inapatikana DSM. Kama upo DSM pita pale wizara ya Maliasili na Utalii nenda moja kwa moja ofisi za uhasibu kuna mtu namfahamu pale anazo asali best za nyuki wakubwa na wadogo.
  15. Little John

    Tafadhali usikikate kitunguu maji ukakibakisha ili kesho yake ukitumie tena haifai kabisa

    Ni kweli kabisa watanzania wengi tungekuwa saa hizi marehemu, wewe MziziMkavu hebu uliza kwenu hamkawahi kupikia kitunguu wacha cha jana hata cha juzi. Mimi nakumbuka kabisa kitunguu kwetu kilikuwa hakipikii mara moja mpaka na ukubwa wangu huu sijaona mtu amekufa kwa kula kitunguu cha jana au...
  16. Little John

    Nyumba ya mbwa wangu mnasemaje wabongo?

    Hii safi mkuu. Bigup. Mbwa ukimtunza vizuri anashukurani kuliko mlinzi tena wa kampuni ya ulinzi, huyo huyo atakugeuka. I like it.
  17. Little John

    Hii ndio orodha ya vyuo bora tanzania na kozi wanazoongoza kwa ubora wake.

    Wewe ndio uwe makini, umepewa mpaka web site utoe mawazo yako nje kidogo bado hutaki. Haya tunakushauri tena tembelea www.4icu.org/tz .
  18. Little John

    Jamani wakwe wanatuchanganya;ushauri wenu chanya muhimu

    Ni kweli inabidi kubadili tabia. We are not serious. Its more than a year now. HONGERA MKUU.
Back
Top Bottom