Tangazo la maombi ya kazi (PCCB)

Abdulbastwa

Member
Jul 24, 2012
22
2
Habari yenu jf. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.
 
Habari yenu wana JF. Hongereni kwa 2liokua short listed, na pole kwa waliokosa. Hii isimkatishe yeyote tamaa kwani ni bahati na mapenzi ya mungu huenda kesho ikaja kwako. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.

Bora ucngechaguliwa 2 unataka nini sasa.
 
Habari yenu wana JF. Hongereni kwa 2liokua short listed, na pole kwa waliokosa. Hii isimkatishe yeyote tamaa kwani ni bahati na mapenzi ya mungu huenda kesho ikaja kwako. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.

Punguza kiherehere, kuwa shortlisted ndio ishakuwa tabu!
 
Kwa hali hii ukiajiriwa siri za PCCB zitasalimika kweli? alafu unawapa pole wenzio kama umeshaajiriwa, bado omba Mungu maana wakati mwingine kwenye kazi watu wanakuwa shortlisted kama formality tuu
Habari yenu wana JF. Hongereni kwa 2liokua short listed, na pole kwa waliokosa. Hii isimkatishe yeyote tamaa kwani ni bahati na mapenzi ya mungu huenda kesho ikaja kwako. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.
 
Mkuu #Abdulbastwa unapoomba kazi basi taarifa/tangazo lolote linalohusiana na hiyo kazi unatakiwa uhifadhi kwa ajili ya reference hapo baadae endapo utaitwa kwenye usaili.

Jaribu kulitafuta kwenye google huenda ukalipata, hongera kwa kuwa short listed & kila la kheri.
 
nahisi ushapanic anyway interview ya TAKUKURU is more than hilo Tangazo kama ndio ujanja wako, infact unatakiwa kuwa very acknowledged with general skills
 
Inaonekana huyu dogo alishasahau aliomba nafasi ipi! Hizi div 5 hasara kwelikweli!

nadhani kati ya watchman nafasi 95 au office attendants nafasi 38! hawezi kuwa Afia na tabia za majivuno na mbwembwe

jifunze kuandika thread acha kukurupuka dogo,,,,,,,,,,,,,lkn kwa sababu ni office attendant sikushangai inaonyesha jinsi gani una Div V, na ulivyo na upeo finyu.........
 
Mkuu #Abdulbastwa unapoomba kazi basi taarifa/tangazo lolote linalohusiana na hiyo kazi unatakiwa uhifadhi kwa ajili ya reference hapo baadae endapo utaitwa kwenye usaili.

Jaribu kulitafuta kwenye google huenda ukalipata, hongera kwa kuwa short listed & kila la kheri.

Ahsante kwa ushauri kk, nadhani hamkunielewa vzuri au nimekosea namna ya kupost. Am very sory kwa niliemkera ila haikua lengo langu. Samahan sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom