Search results

  1. S

    Kwanini ccm inawanyima maji wapinzani na kuishia kuwapa kiu tu?

    Hivi mnajua watanzania jinsi hawa wapinzani wanavyoweweseka na nguvu ya CCM?nimetafakari vya kutosha ndio maana nikaamua kufunguka namna hii nimegundua mambo yanayofanywa na ccm wapinzani wengi wanayatamani wangekuwa wamefanya wao basi sifa zote zingewamiminikia wao kuna swali la kujiuliza hivi...
  2. S

    Jinsi ya kumuenzi baba wa taifa

    Hivi watanzania wenzangu nadhani mnautambua vya kutosha mchango wa baba wa taifa hayati J .K. Nyerere kuwa mwalimu alitumia nguvu zake nyingi kupinga udini na ukabila na ndio maana alikazania sana umoja wetu watanzania kama ndugu na ndio maana kiswahili kilishamiri kila mahala tanzania na kweli...
  3. S

    Kwanini tuwanyime kura wapinzani oktoba 31?

    Kama inavyofahamika kuwa watanzania wote wazalendo tutajumuika kwa pamoja katika kuchagua viongozi wetu watakaotuongoza na kututumikia kwa miaka matano ijayo 2010-2015 lakini sasa swali kubwa linaloniumiza kichwa mpaka je watanzania wenzangu tunautambua mchango wa serikali iliyopita maana kuna...
  4. S

    Elections 2010 Kwanini watanzania tunamchagua kikwete?

    Leo hii ningependa kufunguka namna hii na kuwataka watanzania waelewe sababu kubwa ya kumchagua kikwete ni mengi ameyafanya kwenye taifa letu tukufu la Tanzania licha ya kuwa alikuwa nguvu ya kukubalika na kupendwa na kundi kubwa la watu pia ufanisi wake dhahiri ndio unaomfanya mpaka leo...
Back
Top Bottom