Search results

  1. S

    Wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyuo vikuu: Je, ukasome shahada na chuo gani?

    Mdogo wangu hebu jifunze kwanza kuandika Kiswahili kilichonyooka! Si ajabu ukawa unashindwa kujibiwa mswali yako(hata kama Mwalimu Mndeme kakujibu), kutokana na namna unavyoandika. Xamahan ndio lugha gani? Vipi kuhusu kuxoma? na mblmbl je?
  2. S

    Ajali Mbeya: Lori na mabasi mawili ya abiria yagongana

    Chanzo cha ajali ya jana ni Gari la Best Line kutokuwa na break na kabla ya ajali hiyo alishagonga Hiace maeneo za Mbeya Mjini wakati anaondoka stand kuu, na abiria walishampigia kelele!!! Ajali ingehusisha gari nne Ikiwemo Upendo isingekuwa Juhudi za gari la Upendo kumpisha Bestline!! Hata...
  3. S

    Wana Mathematics naombeni jibu au kama una IQ nzuri pia inakuhusu.

    (8+7)+(9-2)-4=18 (5+7)+(8-3)-4=13 (1+2)+(6-1)-4=4 (6+2)+(3-1)-4=6 Right?
  4. S

    Siombi tena kazi za utumishi

    Yumkini ndio sababu hata UTUMISHI wanamnyima kazi! Teh teh teh! Kaka,hebu pitia CV yako na barua yako vizuri!! Yawezekana hata mpango wa CV yako pia
  5. S

    Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

    unarekebisha kwa kukosea!! loh two wrongs make one right
  6. S

    Kala jeremiah amerudi kivinginE...

    Chukua hiyo
  7. S

    Tumsaidieje huyu mtoto aweze kupata elimu kama wenzake? Inatia huruma!!!

    ni ya anglican ruaha diocese,boarding,ada ni kama 120k per year plus mahtaji mengne ya msing kwa boarding
  8. S

    Andika kwa maneno ya kiswahili namba hizi 10,0001 na 11,000..

    dah! Hyo namba ya kwanza chaka aisee!
  9. S

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Ben Kiko Ezekiel Malongo Charles Hilary Jacob Tesha
  10. S

    somo la hisabati liangiwe

    Ha ha ha ha!! Loh!! y=x/3
  11. S

    Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

    Ukiona huna jibu,unakula buyu tu dada!! Mbona swali liko open!! By the way sifanyi serikalini! Kuna kosa hapo?? Rudi,kajipange dada!!!
  12. S

    Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

    Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
  13. S

    On time,in time .What are the differences?

    arrive in time maana yake kama ni saa 7 basi yeye amefika saa saba na dk 1 na kuendelea ,lakini on time maana yake ni exactly saa saba juu ya alama
  14. S

    KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

    Watoto utawajua kwa maneno yao na mawazo yao!! Ficha Upumbavu wako ndugu,ni muhimu kila mtu akajua kuwa una busara kuliko kila mtu akijua kuwa wewe ni mpumbavu!!!! Ningalikuwa na matusi,ningesema,"Wewe ni mpumbavu"
  15. S

    JamiiForums game of the year

    Hatia wanayo hao wanaotupeleka mabwepande!
  16. S

    Ni wiki ya tatu nina mafua nimeamua kuanza na piriton kuna njia nyingne wakuu?

    Nenda pharmacy kakamate kitu inaitwa Cetrizine! Ndani ya dk 30 kwisha kazi!!!
  17. S

    Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.

    Loh!!mimi penda hii mdahalo ya hapa ndani!! never entered JF na nikatoka kama nilivyoingia!!@neylu
Back
Top Bottom