Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

siwalaze

Senior Member
Oct 7, 2010
124
12
Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
 
Kaa utafakari vizuri halafu uliza upya swali lako kwani kwangu mimi naona kama hujui unachokiuliza

Ukiona huna jibu,unakula buyu tu dada!! Mbona swali liko open!! By the way sifanyi serikalini! Kuna kosa hapo?? Rudi,kajipange dada!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom