Search results

  1. Ngalikivembu

    HESLB inawaumiza Watanzania; kwa haya madudu mnamwangusha Rais

    BODI YA MIKOPO YAZIDI KUWAKANDAMIZA WATANZANIA MASKINI: RAIS WETU TUSAIDIE KATIKA HILI Anaandika Justus Mbawala, 0753 917802 (Copy And Paste) Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana mama Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoweza kusikiliza kilio cha muda mrefu...
  2. Ngalikivembu

    Miaka 500 yatimia tangu Kanisa Katoliki kumtenga Martin Luther, mwanzilishi wa Kanisa la Kilutheri

    Leo tunatimiza miaka 500 tangu Kanisa Katoliki lilipotoa waraka wa Kipapa wa kumfukuza aliyekuwa padre wake Martin Luther Januari 3, 1521. Papa alifikia uamuzi huo baada ya miaka minne ya minyukano kati ya kanisa na Luther. Luther alikuwa padre na mtawa wa kanisa katoliki kupitia shirika la...
  3. Ngalikivembu

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi ina 'double standards' kwenye kusimamia ratiba ya kampeni kwa wagombea

    Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake. Mara...
  4. Ngalikivembu

    Kukamatwa kwa Sheikh Ponda na fursa ya kuwaunganisha Waislamu

    KUKAMATWA SHEIKH PONDA NA FURSA YA KUWAUNGANISHA WAISLAMU NA KUWAPAMBANUA NA KUWATENGANISHA WANAFIKI WASALITI NA WAZANDIKI Dkt. Abdillah Sambalaa Masomoni Uganda. Niwape moyo ndugu zangu waislamu wa Tanzania wenzangu hasa wale wenye mrengo wa kuupenda uislamu wao katika nyanja zote katika...
  5. Ngalikivembu

    Professor Charles Nyamiti shall be remembered in Africa: His contributions in Theology and Music are unforgotten

    Rev. Prof. Charles Nyamiti was born in 1931, among three brothers and four sisters, to Mzee Theophilus Chambi Chambigulu and Mama Helen Nyasolo, (both Late) belonging to the Wanyamwezi of Tanzania. Prof. C. Nyamiti was ordained a Catholic priest in 1962. His vocation to priesthood remains the...
  6. Ngalikivembu

    Maandishi ya Ahmed Rajab Kuhusu Historia ya Maisha ya Zamani Zanzibar

    Na Ahmed Rajab TWAYIB! Imeingia Ramadhani na tupo barazani. Sijui kwanini Ramadhani hii inanikumbusha ya 1964 mwaka ulioiweka njia panda historia ya Zanzibar. Mapinduzi yalikuwa bado mabichi, hayakutimu hata mwezi, ulipoandama mwezi wa mfungo wa Ramadhani. Sizisahau siku hizo za mwanzomwanzo...
  7. Ngalikivembu

    Inakuwaje umeolewa lakini bado u mgeni wa kudumu kwenu?

    Salamu wana JF. Hii mada nimeikuta huko Kenya Taifaleo. Tuisome na kuijadili pamoja hapa Tanzania ina apply pia TABIA zenu baadhi ya akina dada ambao aidha mmeolewa ama mnaishi na wenzenu, huwa zinatia kichefuchefu. Unapoolewa, maana yake ni kwamba unaachana na wazazi wako na kuanza maisha...
  8. Ngalikivembu

    Hivi Sherehe za kitaifa kwa sasa hazina uzito tena? Ufafanuzi unahitajika

    Ninajua kuwa mapumziko yoyote ya kitaifa nchini Tanzania yapo kisheria. Hata wakati nasoma somo la uraia tulisomeshwa kuwa kuna Sherehe za kidini zinazo tambulika kisheria ambazo lazima tupumzike. Hakuna kwenda kazini kwa wafanyakazi Wote wa serikali na wa Sekta binafsi. Pia mashule nayo...
  9. Ngalikivembu

    Ni kweli bilioni 10 zimejenga flat 20? Au tuna woga kuhoji gharama halisi?

    Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja. Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka...
  10. Ngalikivembu

    St Joseph college Songea kurudi mwaka huu? Kubadilishwa jina?

    Nimepitia kwenye Web ya TCU hasa kwenye kuomba udahili upande wa diploma ambako watu wa nacte wanahusika. Huko nimeona chuo hicho kimeorodheshwa. Vipi kinarudi tena? Kama Nacte wamekiweka chuo hiki ili kiwe sehemu ya machaguo kwa wanafunzi wapya, je yale mapungufu yaliyopelekea kufungwa...
  11. Ngalikivembu

    Kule Zanzibar serikali na dini ya kiislamu vina unasaba?

    Rais Magufuli ameenda Zanzibar kutoa neno la shukrani. Kwa siku mbili amekuwa akifanya mikutano huko akianzia Pemba na leo alikuwa unguja. Lakini katika kufuatilia ziara yake kila mara husomwa kwanza quran. Sijajua tukio hilo lina maanisha nini huko visiwani. Unguja pia leo kabla jambo lolote...
  12. Ngalikivembu

    Ofisi zote za CCM zinalindwa na FFU mkoani Ruvuma;Kulikoni?

    Katika hali ambayo imeonekana kushangaza wengi hapa mkoani Ruvuma ni kuona sasa ofisi cha ccm zinalindwa na askari kanzu kama ilivyo kwa benki. Na wameweka kabisa yellow police line. Hakuna kusogea eneo hilo. Ukifika mlangoni unaulizwa maswali ya kutosha. Hali hii imeanza tangu juzi. Kuna...
  13. Ngalikivembu

    Ni nani huyu Farijala Juma Hussein? Ni tapeli?

    Kuna mzee mmoja maarufu sana kwenye media za Tanzania. Mara nyingi anaitwa pale startv, TBC au ITV kutoa uchambuzi au kushiriki mijadala ya kisiasa. Anaonekana kuwa karibu kidogo na viongozi wa chama na serikali tawala. Lakini nimeulizwa swali na mtu mmoja hivi kama namjua huyu mzee vizuri...
  14. Ngalikivembu

    Sungusungu Temeke ni udhalilishaji sio ulinzi

    Nimesikitika na Jeshi la polisi linavyofanya kazi nchini. Jijini Dar wale panga road wamerudi tena kwa nguvu. Wanakata wananchi mapanga na kuwapora. Kikundi kikubwa chenye watu karibia ishirini hivi kinaendesha wizi usiku wa manane katika mitaa mingi Jijini Dar hususani wilaya ya Temeke maeneo...
  15. Ngalikivembu

    Haitoshi kuondoa wafanyakazi hewa, vyeti feki pia visakwe na kuondolewa

    Rais Magufuli amekuwa mkali sana kwa wafanyakazi hewa ambao wana onekana wamejazana kwenye taasisi za serikali. Mishahara hewa imekuwa ikilipwa kila mwezi kwa muda mrefu sana. Lakini nitoe wito kuwa aondoe na vyeti vya kununua. Kuna wafanyakazi wengi wanatumia vyeti vya kununua. Kama amewapa...
  16. Ngalikivembu

    Waziri Mbarawa tumbua hawa walionunua rada sanamu ya hali ya hewa

    Nampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza ahadi zake alizozitoa wakati wa kampeni. Tarehe 20. November 2015 alipolihutubia bunge aliahidi kutumbua majipu. Alisema amejipa kazi ya kutumbua majipu. Tumeona anatekeleza ahadi hii. Kwenye utumishi kulioza sana. Nampongeza kwa tumbua tumbua hii...
  17. Ngalikivembu

    Unataka kupiga kura kwa mazoea kesho? Soma hapa haraka sana kabla hujafanya hivyo

    Watanzania tunasahau mapema sana? Tunapuuzia maisha yetu? Tuanachukulia poa tu? Kwanini? Hebu jaribu kukumbuka ahadi za watawala wetu huko nyuma. Je eneo unaloishi unakumbuka walikuahidi nini? Wametimiza? Shtuka. Kura yako ni ya thamani kubwa sana. Fanya uamuzi wa busara. Usipige kura kwa...
  18. Ngalikivembu

    Wafanyakazi wote shime tuikatae CCM na Magufuli kwa ulaghai wao, pigia mabadiliko

    Ndugu wafanyakazi wote popote mlipo nchini Tanzania, Ikiwa yamebaki masaa macha sanakupia kura ya maamuzi juu yamaisha yetu, nawaomba ufanye uamuzi wa kuikataa CCMna mgombea wake Maguu. Awali Magufuli alipoanza kampeni zake alionyesha rangi yake kamili. Aliwatisha wafanyakazi sana akiingia...
  19. Ngalikivembu

    CCM kupita bila kupingwa; Kwanini Ukawa mnafanya makosa yanayoweza kuepukika?

    Hakika nimesikitishwa sana na taarifa za baadhi ya majimbo CCM kupita bila kupingwa. Kwa taarifa mbalimbali zinaonyesha hadi sasa CCM imepata majimbo Sita nchini kabla ya uchaguzi kufanyika. Majimbo hayo ni Peramiho, Nanyamba, Ludewa, Sengerema, Bumbuli na Mlalo yamepita bila kupingwa kutokana...
  20. Ngalikivembu

    Watumishi wa serikali na upofu wa uelewa wa siasa nchini

    Watumishi wengi ukiongea nao unagundua kuwa hawajui sheria. Ukitangaza kuwa unaenda kugombea ubunge anakuuliza chama gani? Upinzani anakuambia tumekupoteza kwani ukishindwa hurudi serikalini. Lakini ukigombea ccm ukishindwa utarudi na cheo utapandishwa. Hivyo sasa kumbe watumishi wengi wanaogopa...
Back
Top Bottom