Search results

  1. M

    Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Habari ya jioni wakuu, Maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana visa vingi sana. Inawezekana umewahi au upo kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, ebu tupate experience mbali mbali ilikuaje kuaje mpaka mkaingia kwenye mahusiano. Kwa upande wangu alikuwa ni Mkuu wangu idara, alinipita miaka 20...
  2. M

    Anayepafahamu eneo linaitwa Mkokozi

    Habari wana JF, Mimi kazi niko Mwanza ila ni mzaliwa wa DSM na wazazi wangu wanaishi DSM. Leo katika story na wenzangu tumesikia kuna viwanja vinapatikana eneo linaitwa Mkokozi lipo karibu na Kigamboni. Kwa anayepafahamu naomba maelezo kuhusu ufikaji wake, mazingira yake, hali ya bara bara na...
  3. M

    Gharama za Ujenzi kwa ramani hii

    Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja cha ukubwa gani Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Naomba kujuzwa shule ya private ya A-level yenye mchepuo wa CBN

    Salaam Wakuu..!! Naomba kufahamishwa kama kuna shule ya A-level ya Private yenye mchepuo wa CBN - Chemistry, Biology and Nutrition ili niweze kumpeleka binti yangu
  5. M

    Msaada wa shule ya Private yenye mchepuo wa CBN

    Wakuu kwema..!! Nina Kijana wangu anatarajia kwenda Form V mwaka huu sasa anataka kusoma mchepuo wa CBN yaani Chemistry, Biology na Nutrition. Mwenye ufahamu wa shule ya private inayotoa mchepuo huo anisaidie... ikiwa ya boarding itakuwa vyema zaidi
  6. M

    Course ipi ni nzuri kati ya hizi kwa SUA?

    Wakuu Salaamu..!! Ningependa kufahamishwa course gani kati ya nitakazozitaja hapa chini ni nzuri katika Chuo Cha kilimo cha Sokoine - SUA na pia upatikanaji wa ajira kwa course hizo. Kozi zenyewe ni: 1. Bsc in Biotechnology and Laboratory science. 2. Bsc in Family and consumer studies. 3...
  7. M

    Changamoto kwenye mfumo wa Sekretariati ya ajira

    Wakuu salama..!! Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi kwenye Personal details ili ku-update inamwambia. . Naomba msaada kwa mwenye uzoefu nini cha...
  8. M

    Ufahamu kuhusu bima ya gari ya siku 7

    Wakuu habari ya wikiendi.... Napenda kufahamishwa kuhusu bima ya gari ya siku 7. Niliwahi kusikia mtu unaweza kukata bima ya siku ya 7 kwa gari lako. Naomba kufahamishwa kama ni kweli na je ni kampuni gani zinakata hiyo bima na kwa gharama gani.
  9. M

    Fuel efficiency ya Toyota Allex four wheel drive

    Habari wakuu.... mwenye kufahamu ulaji wa mafuta kwenye Toyota Allex yenye four wheel drive anijuze.... na je four wheel drive inakuwa muda wote au ni option unachagua wewe mwenyewe.?
  10. M

    Wimbi la kampuni za kitanzania za kuagiza magari; uaminifu na uhalisia

    Habari wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumeibuka wimbi la kampuni za kitanzania zinazoagiza magari kutoka Japan, UK, Singapore n.k. Tena wana utaratibu wao wa malipo kwa awamu mbili, unalipa unapoagiza gari na malipo ya pili unamalizia gari linapofika. Kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii hasa...
  11. M

    Kutofoutiana kwa bei ya CIF, TRA wanaifuata ipi wakati wa malipo?

    Heshima kwenu wakuu, Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao Je, wakati wa kulipa kodi gari inapofika nchini TRA wata-consider CIF price ipi.? Kwa mfano, CIF price ya Toyota Harrier ya mwaka 2009...
  12. M

    Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

    Heshima kwenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Ningependa kujua ni kampuni gani nzuri ya kuagiza gari kutoka Japan kati ya SBT na BEFORWARD.? Vigezo viwe katika maeneo yafuatayo: (1) Ubora na uzima wa magari (2) Uharaka wa huduma (3) Uaminifu wa watumishi (4) Huduma nzuri (5) Bei ya...
  13. M

    Kampuni binafsi zinazouza nyumba mpya Tanzania

    Habari wakuu.... Ningependa kujua kampuni binafsi ambazo zinajihusisha na biashara ya kuuza nyumba mpya kwa Tanzania.... Najua kuna miradi ya NSSF na NHC lakini ningependa kujua kama kuna kampuni binafsi ambazo zinafanya hiyo biashara pia
  14. M

    Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

    Habari Wakuu...... Niko mbioni kuagiza Toyota Allex ila kabla ya kufanya maamuzi hayo ningependa kupata maoni ya wataalamu juu ya uzuri na ubaya wa hiyo gari.... Kuhusu labda ulaji wa mafuta, uimara wa body na comfortability yake kwenye uendeshaji n.k.... Kwa sasa natumia Toyota IST ila nataka...
  15. M

    Bampa la nyuma la Toyota IST

    Habari za usiku wakuu.... poleni na mishughuliko.... bampa la nyuma la IST naweza nikapata kwa sh.ngapi.? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. M

    Shule nzuri ya Olevo ya Wasichana mkoani Kilimanjaro.... Pamoja na ada zao

    Husika na kichwa cha habari hapo juu.... nina Shemeji yangu amemaliza Darasa la 7 mwaka huu.... tunajaribu kumtafutia shule ya kusoma kidato cha Kwanza mwakani..... Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu
  17. M

    Hivi ni rahisi kuona mpenzi uliemzoea anaoa/olewa na kusema 'waache waoane?'

    Hivi wadau mnaichukuliaje hii nyimbo ya Chege featuring Diamond - WAACHE WAOANE katika maisha yetu ya kawaida ya mahusiano? Ni vitu ambavyo vinatokea sana katika maisha yetu ya mahusiano unakuwa na mtu kwa muda mrefu lakini mwisho wa siku anakuja kuoa au kuolewa na mtu mwingine. Is it easy to...
  18. M

    Kabla ya kuoa au kuolewa soma hapa

    Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua Ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna Ndoa na kuna Harusi...Wengi mnapenda zaidi harusi, na mnapowaza Ndoa picha inayowajia ni Suti kali, Boonge la Shela kutoka Uturuki, Make Up ya ukweli...
  19. M

    Aina 10 za ndoa tunazofunga kwa kujua au pasipo kujua

    1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya ndoa. 4...
  20. M

    Mheshimiwa Rais Magufuli Mpe Ukuu wilaya Kibwana Dachi

    Huyu ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa African Media Group inayomiliki vituo vya Chanel 10, Magic Fm, CTN na DTV. Namsikilizaga sana kwenye kipindi cha Morning Magic cha Magic Fm, huyu mzee ni mjuzi wa mambo na mwerevu kweli kweli. Anaonekana pia kuufahamu vizuri muundo wa Serikali na kazi...
Back
Top Bottom