Search results

  1. M

    Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Mama K, ni kama nakuona kwa kushoto nyuma ya hii ndume inayoingia vyama kukinga njaa. Nakuona unachungulia kwa makini sana. Ni vyema ukaanza kuweka ile miwani inayona mbali kwani hicho cheupe kilichosimama kando ya hiyo ndume ya nyumbani ni hatari sana, hata simama yake ni ushahidi tosha...
  2. M

    Bunge hili linapaswa kuvunjwa...

    Mshahara wa dhambi ni mauti.
  3. M

    Waraka maalum kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani kuelezea ukabila uliokithiri idara ya uhamiaji

    NENDA SHULE MKU, ACHA MALALAMIKO. HAYO MAKABILA UNAYOYATAJA WAKO MBALI BWANA. NENDA BOSWANA UTAWAKUTA NI MAKONSALTANI MAHOSPITALINI NA KWENYE MIRADI YA KIMATAIFA. NENDA MAREKANI NA HATA CHINA. wAMESAMBAA DUNIANI SHAURI YA KULA KITABU. WEWE KALAGABAHO KWA MAWAZO FINYU YA KUONA UCHAGA TU. THINK...
  4. M

    Lipumba, mdhamini mtoto aliyekojolea kurani

    Mkolawake, nakubaliana na wewe 100%. Infact yule aliyeipeleka Koran kukojolewa pamoja na baba yake aliyemruhusu mtoto asiye na akili kubeba Koran Tukufu wangekuwa washitakiwa namba moja. Yule aliyeikojolea angekuwa shahidi tu. Wewe unapeleka kitabu chako unachokithamini kwa mtu ambaye wala...
  5. M

    Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

    Lowasa anafaa saaqana lakini lazima kwanza asafishwe na maji ya betri yale makali.
  6. M

    Mwanza: Mahakama yawatia ndani Diwani, Katibu wa CHADEMA

    Hapana bwana Mbofu, huyo hakimu hawezi kuwa amesoma Tumaini University. Lazima amesoma kule wanakovaa suruali njiwa, kule karibu na mamitambo ya umeme Moro. MIU
  7. M

    Mkuki kwa nguruwe [dr. Ulimboka] kwa binadamu [RPC Barlow]

    Wewe kweli kweli hutaki kutumia akili aliyotugea Mwenyezi Mungu. Majamaa haya ndiyo yaliyomsulubu, sasa unashauri baaba ya kuponea chupuchupu, ajipeleke kwao mwenyewe ili wakamalize kazi. Au wewe ni mmoja wao waliomsulubu UL? manake lugha yako ni kama wao!!! Aliposhirikiana nao, mpaka kuitikia...
  8. M

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Huo ushahidi uko wapi? Unasema "Ushahidi huu hapa" alafu unapiga porojo tu. Shekhe kajiteka mwenyewe huyo asiwadanganye. Wangmweka uamsho kidogo angesema ukweli.
  9. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Bwana Chama, mbona unaropoka tu hutoi pointi yoyote kwa unayoyapinga? Unaposema "kuna mengi ambayo serikali imechangia" mbona huyataji. Bwana Mohamed Mtoi kataja matatizo mengi ya hakika ambayo waislamu wanahitajika kuyafanyia kazi wewe unalaumu tu. WEWE NADHANI NI SEHEMU YA TATIZO.
  10. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Hivi sisi waislamu kwanini tunakuwa vyanzo vya vurugu. Kwani huyu Mungu wetu tunayemsujudia hana uwezo wa kuadhibu mwenyewe watu wanaochezea vitu vyake vitakatifu? MPAKA SISI WALA KITI MOTO NA WALEVI tumsaidie? Wafanyabiashara wanatushitaki kuwa wakati wa Ramadhani biashara ya KITIMOTO...
  11. M

    Uamsho watawanywa kwa nguvu na FFU viwanja vya Malindi ZNZ

    Hiyo ndio kweli 100%. Watu milioni moja ndani ya watu zaidi ya milioni 40 (2.5%) wanaleta chokochoko " hatutaki muungano, hatutaki muungano". Hawa ni sawa na wilaya moja tu ya Magu. Basi nadhani suluhisho ni moja tu SERIKALI MOJA na kulingana na idadi ya watu wanaweza kuwa WILAYA. Nadhani hawa...
  12. M

    PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

    Hivi unapowaangalia hawa wanafanana na wasomi wa elimu ya juu? Hata wa magamba hawafanani hivyo. Hawa ni zaidi ya magamba. Hawa ni watu wenye njaa tu. Wamelambishwa halua sasa wanakimbia barabarani wakicheka ovyo. Mwanaharakati gani anachekea huku Watanzania wakidhalilika kwa kulala chini wakiwa...
  13. M

    Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Her head is full of "manyanya" What else would you have expected from a head of tomatoes. Remember the plural for nyanya is nyanya. They are called manyanya only when they are rotten and possibly in the dustbin.
Back
Top Bottom